Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issah akiwa na Mkuu wa Polisi wa wilaya ya Hai,Lwelwe Mpina wakiangalia gari lililokamatwa na Dawa za Kulevya aina ya Mirungi.
Kamanda
wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamishina Msaidizi wa Polisi ,Hamis
Issah akiangalia gari aina ya Noah iliyokutwa na Dawa za Kulevya aina
ya Mirungi ikiwa imefichwa katika maeneo mbalimbali.
Muonekano
wa gari aina ya Noah lililofanyiwa matengenezo ili kurahisha
usafirishaji wa Dawa za Kulevya aina ya Mirungi kwa kificho ikiwa ni
njia mpya ya kusafirisha dawa hizo.
Kamanda
wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,KAmishna Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issah
akionyesha vifurushi vya Dawa za kulevya aina ya Mirungi iliyokamatwa
katika wilaya ya Hai.
WAFANYABIASHARA wa Dawa za kulevya aina ya Mirungi wamebuni
mbinu mpya za kusafirisha Dawa hizo kwa kutumia magari ya Kifahari yakiwemo
Toyota Land Cruser ,Toyota Alphasad,Toyota Vanguard huku wengine wakilazimka
kuzifanyia mabadiliko gari aina ya Toyota Noah ili kurahisisha ubebaji wa
Mirungi kwa kificho.

Hata
hivyo tayari jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limebaini mbinu hizo baada ya
kufanikiwa kukamata gari aina ya Toyota Noah lenye namba za usajili T 443 DET
lililokuwa limebeba kilogramu 102 za Mirungi likielekea Kondoa mkoani Dodoma.

wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Kamishna Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issah
alithibitisha kukamatwa kwa gari hilo majira ya saa 6:30 za usiku katika
kizuizi cha askari eneo la Kwa Wasomali likielekea njia ya Arusha.

“Tumeendelea
na zoezi la kukamata wasafirishaji w Dawa za kulevya ,tumekamata kwa mara
nyingine gari aina ya Noah ,hili gari limetokea maeneo ya mkoani Kilimanjaro
,linaelekea mkoani Dodoma katika wilaya ya Kondoa “alisema Kamanda Issah.

“Hili
gari limebadilishwa badilishwa ndani ,ukilitizama
limejengewa vyumba maeneo tofauti tofauti kwa ajili ya kuekea Mirungi,Bampa la
mbele lina vyumba ,ndani kumetobolewa na kuchomelewa vizuri ,yaani limefanyiwa
mabadiliko makubwa kwa ajili ya shughul ihii ya usafirishaji wa
Mirungi,ukikagua kwa mashaka huwezi gundua kwa mara moja”aliongeza Kamanda
Issah.

Alisema
hadi sasa watu wawili wanashikiliwa huku akiwataja majina kuwa ni Simoni Boaa
mkazi wa Babati na aliyekuwa dereva wa
gari hilo na Abushil Abdalah mkazi wa Kondoa
na kwamba taratibu zikikamilika watafikishwa mahakamani huku akitoa onyo
kwa wafanyabiashara wa Mirungi walioshindwa kuacha biashara hiyo .

“Kwa sasa
mbali na kukamata tu hawa wasafirishaji ,tutaenda mbali zaidi kwenda kuangalia
na mali zao hasa hizi zinao tumika katika usafirishaji ikibidi tushauri sheria
ifanyiwe mabadiliko wasipate kabisa haya magari yao “alisema Kamanda Issah .

katika kipindi kisichozidi siku 10 tayari yamekamatwa magari matatu likiwemo
Toyota Alphasad lenye namba za usajili T 308 DMS lililokamatwa hivi karibuni likiwa na
kilogramu 320 za Dawa za kulevya aina ya Mirungi likisafirisha kuelekea mkoani
Arusha.

Issah alisema tukio jingine la hivi karibuni ni lile la kikosi cha Pikipiki
cha jeshi hilo kilikamata kilogramu 80 za Mirungi iliyokuwa ikisafirishwa kwa
kutumia pikipiki kutoka nchi jirani ya Kenya.

Kukamatwa kwa Dawa hizo nyingine zinafanya idadi kamili ya
Dawa za kuevya aina ya Mirungi zilizokamatwa hadi sasa kufikia kilogramu 502
pamoja na vyombo vya usafiri yakiwemo magari mawili na pikipiki moja.

No comments :
Post a Comment