Washiriki wa mashindano ya
Ulengaji Shabaha wakiwa katika Harakati za Mashindano ya Majeshi
Tanzania BAMMATA yanayoendelea katika Viwanja vya Kunduchi Jijini Dar es
Salaam. ( Picha na Luteni Selemani Semunyu).
Waamuzi wa Mchezo wa Ulengaji Shabaha wakihesabu Alama
baada ya Wapigaji kupiga katika Uwanja wa Kunduchi Jijini Dar es
Salaam wakati wa Mashindano ( Picha na Luteni Selemani Semunyu)
Washiriki wa mashindano ya
Ulengaji Shabaha wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza
Mashindano ya Majeshi Tanzania kwa walenga Shabaha BAMMATA
yanayoendelea katika Viwanja vya Kunduchi Jijini Dar es Salaam. ( Picha
na Luteni Selemani Semunyu).



No comments :
Post a Comment