Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa
(NHC) Dkt. Maulid Banyani alipomtembelea leo tarehe 31 Januari, 2019
ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Meneja Masoko na
Utafiti Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Ndg. Itandula kambalagi
Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC) Dkt. Maulid Banyani alipomtembelea leo tarehe 31 Januari,
2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kulia) akizungumza na ugeni kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dkt. Maulid Banyani (wa pili kulia)
walipomtembelea leo tarehe 31 Januari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments :
Post a Comment