Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi
Lugola (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya wa Dodoma Patrobas
Katambi (watatu kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Ramadhani Kailima (wapili kulia), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Thobias Andengenye (wapili kushoto), Makamishna na Makamanda wa Mikoa
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, mara baada kufungua rasmi Kikao cha Makamanda
wa Jeshi hilo katika ukumbi wa Bwaro la FFU, Jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb), akizungumza na Makamanda wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji kabla ya kufungua rasmi Kikao cha Makamanda wa Jeshi hilo
katika ukumbi wa Bwaro la FFU, Jijini Dodoma.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, CGF Thobias Andengenye, akisoma
hotuba ya kumkaribisha Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi
Lugola (Mb), katika Kikao cha Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, katika
ukumbi wa Bwaro la FFu, Jijini Dodoma.
Baadhi ya
Makamanda wa Mikoa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakimsikiliza, Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb), wakati akizungumza kabla ya
kufungua rasmi Kikao cha Makamanda wa Jeshi hilo katika ukumbi wa Bwaro la FFU,
Jijini Dodoma.
Kamishna wa
Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage akimshukuru Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb), mara baada ya kufungua rasmi
Kikao cha Makamanda wa Jeshi hilo katika ukumbi wa Bwaro la FFU, Jijini Dodoma.(PICHA ZOTE NA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI)
No comments :
Post a Comment