Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kulia)
akizungumza jambo na Mhandisi wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Tume ya
Taifa ya Uchaguzi kutoka TBA alipofanya ziara ya kutembelea eneo la
ujenzi wa ofisi hizo Njedengwa , jijini Dodoma.
Jengo la Utawala la Tume ya Taifa ya Uchaguzi likiwa katika hatua za ujenzi katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Muonekano wa jengo la ukumbi wa Kutangazia matokeo ya Uchaguzi la Tume ya Taifa ya uchaguzi likiwa katika hatua za ujenzi jijini Dodoma.
Mkurugenzi
wa Uhaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kushoto)
akizungumza na baadhi ya Watendaji wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) na
wataalam kutoka Chuo Kikuu Ardhi mara baada ya kutembelea eneo la mradi
wa Ujenzi wa Ofisi za NEC, Njedengwa jijini Dodoma.
Mhandisi
wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za NEC jijini Dodoma Mhandisi Yohana
Mashauri (kulia) akimweleza jambo Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia aliyetembelea ujenzi wa Ofisi
hizo.
Baadhi
ya watendaji na Wasimamizi wa Mradi wa ujenzi wa Ofisi za NEC jijini
Dodoma wakimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Athumani
Kihamia (hayupo pichani).
Mhandisi
wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za NEC jijini Dodoma Mhandisi Yohana
Mashauri (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia (wa pili kutoka kushoto)
wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi hizo jijini
Dodoma.
Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia
(katikati) akikagua eneo linapojengwa ghala la kuhifadhia vifaa vya
Uchaguzi akiwa ameambatana na baadhi ya Maafisa wa NEC na wataalam wanaojenga mradi huo kutoka TBA.(PICHA NA NEC)
No comments :
Post a Comment