Baadhi ya Mabalozi wa Mashina ya
CCM katika Wilaya ya Chakechake wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya
Fidelcastro Wilaya ya Chakechake katika mkutano na Mabalozi hao jana
akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa was Kusini
Pemba,
Wanachama na Viongozi wa Mashina
ya CCM wa Wilaya ya Chakechake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro
Wilaya ya Chakechake alipozungumza nao jana akiwa katika ziara ya
kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,
Balozi Kiembe Khamis Ramadhan
akisoma taarifa ya Utekelezaji ya kazi za Mabalozi wa Wilaya ya Chake
chake katika mkutano uliofanyika jana katika Ukumbi wa Skuli ya
Sekondari ya Fidelcastro mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani), akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha
Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba
Wanachama na Viongozi wa Mashina
ya CCM wa Wilaya ya Chakechake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro
Wilaya ya Chakechake alipozungumza nao jana akiwa katika ziara ya
kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya
Fidelcastro Wilaya ya Chakechake wakati wa Mkutano wa Viongozi wa
Mashina jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Mkoa wa Kusini Pemba
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi
katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Chakechake Mkoani wa Kusini Pemba
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akizungumzanao jana katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro
akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya
Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro
Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya
kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Picha na Ikulu
No comments :
Post a Comment