Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akilakiwa na uongozi wa kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha
kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa kabla ya
kukizindua rasmi leo Alhamisi Mei 3, 2018
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa SAGCOT Bw.
Geoffrey Kirenga alipowasili katika kiwanda cha kuzalisha vifaranga na
chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa
Iringa kabla ya kukizindua rasmi leo Alhamisi Mei 3, 2018
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akizindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha
Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei
3, 2018
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya kuzindua
rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland
kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Amina Msenza alipowasili eneo la
Ihema kuzindua barabara ya Iyovi-Iringa-Mafinga mkoani Iringa leo
Alhamisi Mei 3, 2018. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa na kulia kwa Rais ni Mama Janeth Magufuli
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na Naibu Balozi wa Denmark nchini Mhe. Camilla Christensen
wenye sherehe za uzinduzi wa barabara ya Iyovi-Iringa-Mafinga eneo la
Ihema mkoani Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Balozi wa Denmark nchini Mhe. Camilla
Christensen na viongozi wengine wakizindua barabara ya
Iyovi-Iringa-Mafinga eneo la Ihema mkoani Iringa leo Alhamisi Mei 3,
2018.
Picha na IKULU
No comments :
Post a Comment