Amiri
Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed
Shein mara baada ya kuwasili katika jukwa kuu kwa ajili ya maadhimisho
ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.
Vikosi
mbalimbali vya Jeshi la Wananchi, Magereza na Polisi vikipita kutoa
heshma mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (haonekani pichani )katika
ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili
26,2018.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Rais John Magufuli akikagua gwaride
Mmoja
wa Makomando wa JWTZ akitoa Heshma kwa kupiga Saluti wakati akipita
mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (haonekani pichani )katika ya
maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.
Kikosi
cha Makomando wa (JWTZ) kikipita na kutoa heshma mbele ya Amiri Jeshi
Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli (haonekani pichani )katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka
54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa
Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.
Mmoja
wa Makomando wa JWTZ akionesha umahiri wake wa kuvuta gari kwa kutumia
meno katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani
Dodoma.Aprili 26,2018.
Amiri
Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akipiga makofi na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed
Shein, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Benjamin Mkapa Pamoja na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, wakati kikundi
cha Halaiki kilipokuwa kikipita mbele kutoa heshma katika ya maadhimisho
ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.
Mmoja
wa Makomando wa JWTZ akiwasili ndani ya uwanja wa jamhuri kwa kutumia
kamba katika maadhimisho hayo ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar.Aprili 26,2018
Askari
wa Jeshi la Magereza wakionesha umahiri wa kupambana na vikwazo
mbalimbali katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani
Dodoma.Aprili 26,2018.
Askari
wa Jeshi la Magereza wakionesha umahiri wa kupambana na vikwazo
mbalimbali katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani
Dodoma.Aprili 26,2018.
Amiri
Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali
Mohamed Shein, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli, Spika wa Bunge Job Ndugai wakati kikundi cha vijana wa Halaiki
walipokuwa wakipita mbele kutoa heshma.Aprili 26,2018.
Amiri
Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54
ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa
Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.(PICHA NA IKULU)

No comments :
Post a Comment