Katibu Mkuu Wzara ya Ujenzi
Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe akisisitiza jambo katika
Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na
Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya
Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View
Zanzibar.kulia yake ni Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na
Mawasiliano(SMT)Dkt,Leornard Chamuriho.
-Baadhi ya Wajumbe
waliohudhuria katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na
Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli
ya Ocean View Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano(SMT) Dkt,Leornard Chamuriho,akifafanua
baadhi ya hoja zilizotolewa katika Mkutano wa mashirikiano kati ya
Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika
Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.
Katibu Mkuu Wzara ya Ujenzi
Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe na Katibu Mkuu Wizara
ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano(SMT) Dkt,Leornard Chamuriho. wakiwa
katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa mashirikiano kati ya
Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika
Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments :
Post a Comment