Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za
Serikali (PAC) wakiwasili katika Jengo la Rocky City Mall lililopo
Jijini Mwanza kwa ajilil ya kukagua mradi huo uliotekelezwa kwa ubia
kati ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza na Mfuko wa Pensheni wa LAPF.
Mbele ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka na
Mkurugenzi Mkuu wa LAPF Ndugu Eliudi Sanga.
Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za
Serikali (PAC) wakiwa katika kikao cha pamoja na uongozi wa Mfuko wa
Pensheni wa LAPF na Halmashauri ya Jiji la Mwanza kujadili utekelezaji
wa mradi wa Jengo la Rocky City Mall unaotekelezwa kwa ubia kati ya
Halmashauri ya Jiji hilo na LAPF.
Wajumbe wa Kamati ya Kamati ya
Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakionyeshwa baadhi ya maeneo ndani ya
Jengo la Rocky City Mall. Pichani wakiangalia chumba ambacho
kinadhibiti hali ya usalama katikamaeneo ya jengo hilo (control room).
No comments :
Post a Comment