Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam (UDSM), Profesa William Anangisye, amemsimamisha masomo
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo hadi kesi yake ya
kutoa taarifa za uongo mitandaoni na kudanganya kutekwa
itakapomalizika.
Nondo alipewa dhamana na mahakama ya Iringa, jana Jumatatu,Machi 2018 baada ya kusota rumande kwa wiki kadhaa.
TAARIFA YA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM


No comments :
Post a Comment