Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kulia)akisalimiana na Mchezaji wa timu ya Bunge Mheshimiwa
William Ngeleja (kushoto) wakati akikagua vikosi vya timu ya Bunge
pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani kabla ya
kuanza kwa mechi yao iliyofanyika leo katika uwanja wa Jamhuri Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kulia)akionyesha zawadi ya jezi ya timu ya Taifa ya Marekani
aliyopewa na Mchezaji wa timu ya FC GRACE UNITED STATES Ndg. Robert
Allen (kushoto) kabla ya kuanza kwa mechi kati ya timu ya Bunge pamoja
na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani iliyofanyika
leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kulia)akikabidhiwa jezi na Mchezaji wa timu ya FC GRACE UNITED
STATES Ndg. Robert Allen (kushoto) kabla ya kuanza kwa mechi kati ya
timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini
Marekani iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (wa pili kulia)akifurahia jambo na Mchungaji Vicent Valentyn
kutoka Afrika kusini (watatu kulia) wakati wakifuatilia mechi kati ya
timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini
Marekani iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto)akikabidhiwa Mipira kutoka kwa Ndg. Robert Allen (kulia)
kwa ajili ya timu ya Bunge, kabla ya kuanza kwa mechi kati ya timu ya
Bunge na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani
iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments :
Post a Comment