Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa
Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akifungua rasmi kituo kikuu na cha kisasa
cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016,
umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi
makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Muonekano wa sehemu ya kituo kikuu
na cha kisasa cha mabasi Singida kikiwa katika hali ya usafi
uliosifiwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour
wakati akifungua rasmi kituo hcho. Ujenzi wa kituo hicho ulianza
Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza
kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa
Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na viongozi wa Manispaa ya Singida
wakisubiria kupanda basi ambalo lilifungua rasmi huduma ya usafiri wa
mabasi katika kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa
kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na
kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati
mmoja.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa
Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na Mkimbiza Mwenge kitaifa Fredrick
Ndahani wakiwa ndani ya basi lililowaingiza ndani ya kituo kikuu na cha
kisasa cha mabasi Singida kama sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho.
Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni
3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa
wakati mmoja.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa
Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akishuka kutoka ndani ya basi
lililowaingiza ndani ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida
kama sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho. Ujenzi wa kituo hicho ulianza
Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza
kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Mabasi na wananchi wa Singida
wakianza kutumia rasmi kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida
kilichozinduliwa na mwenge wa uhuru 2017. Ujenzi wa kituo hicho ulianza
Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza
kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja. Kituo hicho
kimesifiwa kutokana na kuwa katika hali ya usafi huku mikoa mingine
ikitakiwa kuiga mfano huo.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa
Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na viongozi wa Manispaa ya Singida
wakikagua kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo
hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo
hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Muonekano wa Moja ya Sehemu ya
kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kilichozinduliwa na mwenge
wa uhuru 2017. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu
shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa
zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa
Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akikabidhi mizinga mitano ikiwa ni sehemu
ya mizinga 40 kwa timu ya Mpira wa Miguu ya Stendi Misuna mara baada ya
kuzindua kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Timu hiyo
inayoundwa na wakata tiketi imekuwa ni chachu ya kuhakikisha kituo hicho
kinakua na ulinzi na usalama wa hali wa juu pamoja na kupinga vitendo
vya kuvunja sheria kama utumiaji wa madawa ya kulevya.
No comments :
Post a Comment