Monday, May 1, 2017

TAA na JNIA walivyonogesha Siku ya Wafanyakazi Duniani, kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jn1

jn1
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Mtengela Hanga (wa pili kushoto nyuma) akiwaongoza Wafanyakazi wa TAA Makao Makuu na Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kwenye maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.
jn2
Wafanyakazi wa mbalimbali wa Serikali na binafsi wakishiriki sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani, miongoni mwao ni kutoka Makao Makuu ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) na Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) pichani walivyojumuika na wenzao kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.
jn3
Wafanyakazi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Makao Makuu, wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

No comments :

Post a Comment