Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kumi na tano
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe.Dkt,Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi Mhe. Hamadi Masauni akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo
ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe.Dkt Khamis Kigwangala akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika katika kikao cha kumi na tano cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na
Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
–TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Waziri wa Nishati na Madini
Mhe.Prof.Sospeter Muhongo akitolea ufafanuzi hatua zilizochukuliwa na
Serikali juu ya Tetemeko la ardhi lilitokea Mkoani Kagera ivi Karibuni
katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM)
Mhe. Salma Kikwete na Mbunge wa Mtwara Vijijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia
wakijadili jambo katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Waziri wa Sera,Bunge,Kazi ,Vijana
,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo katika kikao
cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 2, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA)
Mhe.Upendo Peneza akiuliza swali katika kikao cha kumi na tano cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na
maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM)
Mhe.Peter Serukamba akizungumza jambo na Mbunge wa Nzega Mjini
Mhe.Hussein Bashe katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya
Haki,Maadili na madaraka ya Bunge Mhe.Almas Maige akisoma hoja za
kamati hiyo kuhusu Shauri la kudharau Mamlaka ya Spika linalowahusu
Mhe.Freeman Mbowe,Mhe Halima Mdee na Mhe.Ester Bulaya na Shauri la
kuingilia Uhuru na Haki za Bunge linalowahusu Bw.Paul Makonda na
Pastory Mnyeti katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO,DODOMA
No comments :
Post a Comment