Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Said Mecky Sadick
na viongozi wengine wa mkoa huo, mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
ndege wa wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA, Aprili 30, 2017. Makamu wa
Rais anaungana na Rais John Pombe Magugfuli na Waziri Mkuu Majaliwa
kwenye kilele cha sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi,
zitakazofanyika kitaifa mjini Moshi, Jumatatu. (PICHA NA VPO)
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment