Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akipitia ratiba ya hafla ya Kongomano la
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wqa Vyombo Vya Habari Duniani yaliofanyika
katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani Zanzibar.
Mc wa Kongamano la Siku ya Uhuru wa
Vyombo vya Habari Duniani Ndg Suleiman Seif akitowa maelezo la kongamano
hilo la kuadhimisha lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Habari
Kilimani Zanzibar.
Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari
Zanzibar Ndg Chande Omar akitowa maelezo wakati wa maadhimishi ya Siku
ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani ilioadhimishwa Zanzibar katika
ukumbi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Kilimani Zanzibar.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari
Tanzania Kajubi Mukajanga akitowa maelezo wakati wa Kongamano hilo la
Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, yaliofanyika katika ukumbi
wa Chuo cha Uandishi wa Habari Kilimani Zanzibar.
Wageni waalikwa na Viongogozi wa Vyombo vya habari Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Habari
Tanzania Hassan Abdallah Mitawi akitowa maelezo ya hafla hiyo kabla ya
kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutowa machache na
kumkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
kuhutubia Kongamano hilo la kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya
Habari.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud akitowa nasaha zake wakati wa kongamano hilo
kabla ya kumkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kuhutubia
hadhara hiyo ya waandishi wa habari mbalimbali walioko Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akihutubiwa wakati wa Kongamano la Kuadhimisha Siku
ya Vyombo vya Habari Duniani huadhimishwa kila mwaka mwezi wa mei 3,
hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani
Zanzibar.
Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar Ndg Chane Omar akiwasilisha Mada ya
kuhusu Umakini wa Fikra kwa wakati muhimu Nafasi ya Vyombo vha Habari katika
Kuimarisha jamii zenye Amani, Haki na Ujumuishwaji, wakati wa kongamano hilo la
Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani lililofanyika katika ukumbi wa Chuo
cha Uandishi wa Habari Kilimani Zanzibar

MHADHIRI
wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Ndg Ali Uki akitowa Mada kuhusiana Uchambuzi wa
Sheria za Habari Zanzibar wakati wa Kongamano hilo.
wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Ndg Ali Uki akitowa Mada kuhusiana Uchambuzi wa
Sheria za Habari Zanzibar wakati wa Kongamano hilo.
MWANDISHI
wa Habari Muandamizi Ndg Enzi Talib akichangia mada zilizowakilishwa wakati wa
Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani
lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Kilimani Zanzibar

Makamu wa Pili wa rais wa zanzibar balozi seif ali iddi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombo vya habari Zanzibar.
imetayarishwa na othmanmapara.
zanzinews.com.
email othmanmaulid@gmail.com
No comments :
Post a Comment