Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana
na Waziri Mkuu Mhe Kassam Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.
Said Meck Sadick mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akisalimiana na Rais
wa TUCTA Bw. Tumaini Nyamhokwa alipowasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri
Mkuu Mhe Kassam Majaliwa wakiangalia ngoma za utamaduni mara baada ya
kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa
kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na wananchi wa Kwa Sadala Wilaya ya Hai waliomsimamisha kwa muda wakati
akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari
kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi
Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na wananchi Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda
wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro
Jumamosi Aprili 29, 2017
KWA PICHA ZAIDI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Kmnda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Hamisi Issa alipowasili
katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza
ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Said Meck
Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi
Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Said Meck Sadick alipowasili katika
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya
kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Waziri Mkuu Mhe. Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.
Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo
leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongiozana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Mhe. Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Rais wa TUCTA Bw. Tumaini Nyamhokwa alipowasili katika Uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya
siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri
Mkuu Mhe. Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Said Meck
Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi
Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
aiiongiozana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Mhe. Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wanahabari alipowasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wana UVCCM alipowasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na wananchi wa Bomang’ombe Wilaya ya Hai waliomsimamisha kwa muda wakati
akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari
kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi
Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na wananchi wa Bomang’ombe Wilaya ya Hai waliomsimamisha kwa muda wakati
akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari
kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi
Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza
changamoto za wananchi wa Kwa Sadala Wilaya ya Hai waliomsimamisha kwa
muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo
Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Kijana
akiwa kabebwa mgongoni akirekodi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Karanga
Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya
kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda
wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro
Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda
wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro
Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda
wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro
Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda
wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro
Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
maagizo wa kutotoza ushuru wachuuzi kwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Hai Bw.
Yohana Sintoo wakati akiongea na wananchi wa Kwa Sadala waliomsimamisha
kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo
Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa maagizo wa kutotoza ushuru wachuuzi kwa Mkurugenzi wa Wilaya ya
Hai Bw. Yohana Sintoo wakati akiongea na wananchi wa Kwa Sadala
waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Mbunge
Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm
akimshangilia Rais Magufuli alipoongea na wananchi wa Karanga
Mbunge
Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm
akisalimiana na Rais Magufuli aliposimamishwa kuongea na wananchi wa
Karanga
Rais magufuli akiwa na Mbunge Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm eneo la Karanga
Rais magufuli akiwa na Mbunge Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm akisalimiana na wanafunzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini

Wananchi wa Kibololoni wakimshangilia Rais Magufuli

Rais Dkt. Magufuli akiongea na Wananchi wa Kibololoni.
PICHA NA IKULU