Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba akitoa Maelekezo kwa Watendaji Wakuu
wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Taasisi ziliko
katika Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi muhimu kabla ya
kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka
huu, Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
Mikutano wa Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba akiwa pamoja na Watendaji Wakuu wa
Wizara yake wakati wa Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Taasisi ziliko
katika Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi muhimu kabla ya
kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka
huu, wa kwanza kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhandisi Hamadi
Massauni na wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi
Hassan Simba Yahaya, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
Mikutano wa Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma.
Baadhi ya Watendaji Wakuu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakipitia bajeti za taasisi zao,
ikiwa ni sehemu ya maandalizi muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya
Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa
kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, wa kwanza kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa [NIDA] Massawe,
akifuatiwa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dr. Anna Peter Makakala,
watatu kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,
Thobias Andengenye na wanne ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza
Dr. Juma Malewa. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano
wa Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba akiwa pamoja na Watendaji Wakuu wa
Wizara yake wakati wa Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Taasisi ziliko
katika Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi muhimu kabla ya
kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka
huu. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma.
Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, wakipitia bajeti zao, wakati wa Kikao cha Mapitio ya
Bajeti ya Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya
maandalizi muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne
mwezi Aprili mwaka huu. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
Mikutano wa Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma.
Baadhi ya Makamishna wa Uhamiaji,
Magereza, na Zimamoto na Uokoaji pichani, wakipitia bajeti zao, wakati
wa Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Taasisi ziliko katika Wizara hiyo,
ikiwa ni sehemu ya maandalizi muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya
Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa
kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu. Kikao hicho kimefanyika
leo katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Dodoma. [PICHA ZOTE NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YANCHI]
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments :
Post a Comment