Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya
Mwaka wa Fedha 2016/17 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa
Fedha wa 2017/18 kwa ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa
katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Utawala wa Chuo Kikuu cha Dodoma
(UDOM). Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma akimsikiliza kwa makini.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. George M. Lubeleje (Mb)
akichangia hoja mara baada ya Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kuwasilisha
taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 na
Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18 ya Ofisi
ya Rais-Utumishi na Utawala Bora kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala na Serikali za Mitaa katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa
Utawala wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Ahmed Juma Ngwali (Mb)
akichangia hoja mara baada ya Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kuwasilisha
taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 na
Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18 ya Ofisi
ya Rais-Utumishi na Utawala Bora kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala na Serikali za Mitaa katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa
Utawala wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Margaret S. Sitta (Mb) akichangia hoja mara baada ya Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18 ya Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Utawala wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Saada Mkuya (Mb) akichangia hoja mara baada ya Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18 ya Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Utawala wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakimsikiliza Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Mwanne I. Mchemba (Mb) (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha kamati hiyo na Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora cha kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18 ya Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora kilichofanyika Ukumbi wa Utawala wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala na Serikali za Mitaa mara baada ya kuwasilisha taarifa ya
Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 na Makadirio
ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18 katika kikao
kilichofanyika Ukumbi wa Utawala wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakipitia kwa makini
taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 na
Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18 ya Ofisi
ya Rais-Utumishi na Utawala Bora iliyowasilishwa na Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Utawala wa Chuo Kikuu
cha Dodoma (UDOM).
No comments :
Post a Comment