Baadhi ya Wadau wa sekta binafsi
waliohudhuria kikao hiko wakiwa pamoja na Watumishi na Wataalamu toka
Ofisi ya Makamu wa Rais na Baraza la Usimamizi wa mazingira(NEMC)
wakimsikiliza Mh. Waziri January Mkamba(hayupo pichani) wakati wa kikao
hiko.
Mmoja wa Wadau toka sekta binafsi za wenye
mahoteli, viwanda na fukwe Bi. Lathifa K. Sukes akichangia jambo katika
kikao hiko. (PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI OMR)
No comments :
Post a Comment