Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wakazi wa Bukoba mjini mara baada ya kumaliza ziara yake
ya siku mbili mkoani Kagera.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wakazi wa Muleba mkoani Kagera mara baada ya kumaliza
ziara yake ya siku mbili mkoani humo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wakazi wa Muganza Wilayani Chato mara baada ya kumaliza
ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment