Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika moja ya Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU)
mjini Addis Ababa kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Afrika Kusini
Jacob Zuma mara baada ya kuwasili kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi
za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Afrika Kusini
Jacob Zuma mara baada ya kumaliza mazungumzo yao katika moja ya katika
Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini
Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Misri Abdel
Fattah El Sisi kabla ya kuanza mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za
Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Misri Abdel Fattah El
Sisi akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli kwa ajili ya mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za Makao
Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Misri Abdel Fattah
El Sisi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za
Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kwenye mazungumzo yake pamoja
na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Benki ya Maendeleo
ya Afrika (AfDB) Akinwumi Adesina mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri
Kaguta Museveni kabla ya kuanza mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za
AU mjini Addis Ababa Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Uganda
Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza mazungumzo yao rasmi katika moja
ya Ofisi za AU mjini Addis Ababa Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa
Ethiopia Hailemariam Desalegn wakati akitoka kwenye mkutano wa AU mjini
Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa
Ethiopia Hailemariam Desalegn wakati akitoka kwenye mkutano wa AU mjini
Addis Ababa nchini Ethiopia. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment