Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa(UN) Antonio Manuel Olveira Guterres kabla ya kuanza mazungumzo
yao katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU), Addis
Ababa nchini Ethiopia.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Antonio Manuel Olveira Guterres akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuanza mazungumzo
yao katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU),
Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu
wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Manuel Olveira Guterres katika Ofisi
za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini
Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa(UN) Antonio Manuel Olveira Guterres mara baada ya mazungumzo
yao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Marais wa wa mataifa
mbalimbali katika mkutano wa AU unaoendelea mjini Addis Abba nchini
Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Malawi Peter
Mutharika kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Ofisi za Makao Makuu ya
Umoja wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono na Rais wa
Malawi Peter Mutharika pamoja na viongozi wengine mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika
(AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya
Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi(SADR) Brahim Ghali katika Ofisi za
Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini
Ethiopia. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment