Abiria wakipanda katika kivuko
cha Mv. Magogoni kinachotoa huduma ya usafiri kati ya Ferry na Magogoni,
leo Jijijini Dar es salaam.
Abiria wakishuka kutoka katika
kivuko cha Mv. Kigamboni kinachotoa huduma ya usafiri kati ya eneo la
Magogoni na Feri, leo Jijijini Dar es salaam.
No comments :
Post a Comment