Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi wa Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es salaam
akiwa katika ziara ya wialaya ya Kigamboni Januari 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na viongozi wa wialya ya Kigamboni baada ya kuwasili
wilayani humo kwa ziara ya siku moja. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment