Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha unga cha MONABAN cha
Arusha wakati alipokitembelea Desemba 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizindua kiwanda cha Lodhia Plastic Industries Limited kabala ya
kukitembelea kiwanda hicho Desemba 3, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa
Arusha, Mrisho Gambo na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mwenyekiti wa Kampuni
ya Nodhia Group, Haroon Nodhia.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
kitazama matangi yanayotengenezwa katika kwanda cha Lodhia Plastic
Industries wakati alipokitembelea kiwanda hicho Desemba 3, 2016
Waziri Mkuu,Kasim Majaliwa
akitazama gari linalotengenezewa bodi maalum kwa ajili ya shughuli za
utalii wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza mabodi ya magari cha
HansPaul cha jijini Atusha Desemba 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha
Fibreboards cha Arusha, Tosky Hans (wapili kulia) kuhusu bidhaa
zinazozalishwa na kiwanda hicho wakati alipokitembelea Desemba 3, 2016.
Watatu kulia ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kiwanda cha Lodhia Plastic
Industries Limited cha jijini Arusha, Haroon Lodhia (kushoto ) kuhusu
utengenezaji wa mabomba ya plastic wakati alipotembelea kiwanda
hicho,Desemba 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua shehena ya ungwa uliosindikwa wakati alipotembelea kwanda cha
unga cha MOBAN cha jijiniArusha Desemba 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama mfuko wenye unga wakati alipotembelea kiwanda cha unga cha
MONABAN jijini Arusha Desemba 3, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment