Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa mauzo wa Kampuni ya Ndege ya
Boeing Jim Deboo Ikulu jijini Dar es Salaam Desemba 5, 2016, kuhusiana na
ununuzi wa ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dream liner Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitazama kitabu cha picha ya ndege aina ya Boeing 787-8 Dream liner wakati alipokuwa akisikiliza
maelezo yake kutoka kwa Mkurugenzi wa mauzo wa kampuni ya Ndege ya Boeing Jim
Deboo. Ndege hiyo itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 262 na itakuwa na uwezo wa
kuruka kutoka nchini Marekani hadi Tanzania bila kutua mahali popote.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mkurugenzi wa
mauzo wa Kampuni ya Ndege ya Boeing Jim Deboo mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha Doto James na anayefuatia ni Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi Dkt.
Leonard Chamuriho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumzia mikakati ya serikali yake kuimarisha
shirika la ndege Tanzania, (ATCL), kwa kununua ndege zaidi
No comments :
Post a Comment