Wednesday, December 28, 2016

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CUBA NA BALOZI MDOGO WA OMAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Jorge Luis Lopez alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais kwa kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini,[Picha na Ikulu.] 27/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Jorge Luis Lopez alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais kwa kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini, [Picha na Ikulu.] 27/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na mgeni wake Balozi wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Jorge Luis Lopez baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Unguja kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi,[Picha na Ikulu.] 27/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi, alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo,[Picha na Ikulu.] 27/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha,[Picha na Ikulu.] 27/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi, baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment