Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al
Habsi, alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi Mdogo wa
Oman katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake
Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi, alipofika Ikulu Mjini Unguja
leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akibadilishana mawazo
na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi, baada ya
mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha,[Picha
na Ikulu.]27/12
No comments :
Post a Comment