Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye
ni mbunge wa Ruangwa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Manokwe katika
wilaya ya Ruangwa ambao walijitokeza kumsikiliza mbunge wao alipokuwa
anawahimiza kufanya kazi ilikujileta maendelo katika wilaya ya ruangwa
Waziri mkuu yupo Jimboni Ruangwa kwa ziara ya kikazi.
Wananchi wa kijiji cha Nga’u
kilichopo wilaya ya Ruangwa wakiwa wamejikinga mvua kwakutumia viti
wakati wakimsikiliza mbungewao Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokuwa
akiwahutubia kwa ajili yakuhimiza shughuli za maendeleo jimboni Ruangwa
Mkoani Lindi
Picha na Chris Mfinanga
No comments :
Post a Comment