Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva akimkabidhi Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa
Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015, Kiongozi wa Timu ya Tathmini
ya Mradi wa Ukuzaji wa Demokrasia wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa
Mataifa (UNDP) Tanzania, Sue Nelson, wakati kiongozi huyo alipotembelea
Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Kamishna wa Tume Mhe.
Jaji Mary Longway.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva (kushoto katikati) akimueleza jambo
mgeni wake ambaye ni Kiongozi wa Timu ya Tathmini ya Mradi wa Ukuzaji wa
Demokrasia wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania,
Sue Nelson (kulia) wakati mgeni huyo alipotembelea Ofisi za Tume jijini
Dar es Salaam leo.Kushoto ni Kamishna wa Tume Mhe. Jaji Mary Longway.
Kiongozi wa Timu ya Tathmini ya
Mradi wa Ukuzaji wa Demokrasia wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa
Mataifa (UNDP) Tanzania, Sue Nelson (kulia) akimueleza jambo Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva (hayupo pichani)
wakati alipotembelea Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.Kulia kwake
ni Mtathmini wa Mradi wa Shirika hilo, Consolata Sulley.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva akimuonesha Kiongozi wa Timu ya
Tathmini ya Mradi wa Ukuzaji wa Demokrasia wa Shirika la Maendeleo la
Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania, Sue Nelson (hayupo pichani) Taarifa ya
Tathmini Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, ambayo pia alimkabidhi
mgeni wake alipotembelea Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na
Elimu ya Mpiga Kura Bi. Giveness Aswile akimueleza jambo Kiongozi wa
Timu ya Tathmini ya Mradi wa Ukuzaji wa Demokrasia wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania, Sue Nelson wakati
alipotembelea Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Kaimu
Naibu Katibu wa Tume, Idara ya Uendeshaji Uchaguzi, Adam Nyando.
Kamishna wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Mhe. Jaji Mary Longway (kushoto) akitoa shukrani kwa Kiongozi
wa Timu ya Tathmini ya Mradi wa Ukuzaji wa Demokrasia wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania, Sue Nelson (kulia) ambaye
ametembelea Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.Kushoto katikati ni
Mwenyekiti wa Tume Jaji Mst. Damian Lubuva na wa pili kulia ni Mtathmini
wa UNDP, Consolata Sulley.
Picha na Hussein Makame, NEC
No comments :
Post a Comment