Mkurugenzi Mkuu wa Shirikala Nyumba la
Taifa (NHC), Nahemia Mchechu, (kulia), akisimama kuashiria amepokea
maagizo ya Rais, ambaye alikuwa anahutubia
Wafanyakazi
wa kampuni ya Udalali ya Mzizima Auction Mart wakitoa vyombo vya
Winfrida Nkungu Mpangaji wa shirika la nyumba NHC nyumba namba 838 Mtaa
wa Senegal Upanga jijini Dar es salaam kutokana na kudaiwagharama ya
Pango miezi tisa kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tatu
2,300,000. Shirika la Numba la Taifa NHC liko kwenye kampeni kubwa ya
kukusanya madeni yake maeneo mbalimbali nchini.
Wafanyakazi
wa kampuni ya Udalali ya Mzizima Auction Mart wakikusanya nguo na vitu
mbalimbali kwa ajili ya kutoa kwenye nyumba hiyo.
Wakiewndelea kutoa vyombo nje.
Vyombo vikiwa nje baada ya kampuni hiyo kukamilisha kazi ya kutoa vyombo hivyo nje.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhusu Programu
ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika
kipindi cha mwaka 2015-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
(wa pili kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi
Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhusu Programu
ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika
kipindi cha mwaka 2015-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
(wa pili kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi
Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
Katibu Mkuu wa Baraza la
Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee akifafanua jambo
wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi
CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika
leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja (kushoto) Wizara wa Elimu na
Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma
Uongozi wa Wizara ya Fedha
na Mipango wakiwa katika mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo kuhusu
Programu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM
katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)
uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhusu Programu
ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika
kipindi cha mwaka 2015-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
(wa pili kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi
Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
Baadhi ya Wakurugenzi wa
Idara zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika mkutano wa siku
moja wa Wizara hiyo kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya
uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mshauri wa Rais masuala ya
Uchumi Bw,Abrahmani Mwinyi Mbegu (kushoto) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mipango Nd,Khamis Mussa Omar (katikati) na Kamishna wa ZRB Nd,Amour Hamil
Bakari wakiwa katika mkutano wa siku moja wa Wizara ya Fedha na Mipango
uliozungumzia kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya
Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti
wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, (kulia), akizungumza na
wabunge kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2016. Kutoka kushoto
ni Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni, Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe na
Mbunge wa Bumbuli, January Makamba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Sumbawanga mjini,
Aeshi Hilaly kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega,
Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mafinga Mjini,
Cosato Chumi kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Septemba 6,
2016
No comments :
Post a Comment