Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake
na Watoto kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama
cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo
hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake
na Watoto kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama
cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo
hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na
Watoto,Bi.Fatma Gharibu Bilali akisoma baadhi ya vifungu wakati wa mkutano wa
siku moja wa Wizara hiyo uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka
2015-2020,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja uliofanyika
leo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Bi.Mauwa Makame Rajab na Mshauri wa Rais Uchumi
Mzee Abrahman Mwinyi Jumbe
Uongozi
wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto ukimkaribisha Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) mara alipoingia katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo katika
mkutano kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha
Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake
na Watoto kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama
cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo
hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Wasaidizi wa Rais wakifuatilia kwa makini michango mbali mbali iliyotolewa katika mkutano wa siku moja wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,ulizungumzia Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2015-20120,uliofanyika leo Ikulu Mjini unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri
No comments :
Post a Comment