Taswira
meza kuu. Kutoka kushoto ni Kaimu Katibu mkuu wa chama hicho, Juma
Sanani Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto, Makamu Mwenyekiti wa
chama hicho Tanzania Bara, Shaban Mambo, Makamu Mwenyekiti Tanzania
Zanzibar, Ramadhan Ramadhan na Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara, Msafiri
Mtemelwa.
Na Dotto Mwaibale
CHAMA Cha ACT Wazalendo kimesema katika kipindi cha miezi 6 tu ya kwanza ya utawala wa Rais Dk. John Magufuli uchumi wa nchi umepungua hadi kufikia asilimia nne ukilinganisha na vipindi vingine vilivyopita.
CHAMA Cha ACT Wazalendo kimesema katika kipindi cha miezi 6 tu ya kwanza ya utawala wa Rais Dk. John Magufuli uchumi wa nchi umepungua hadi kufikia asilimia nne ukilinganisha na vipindi vingine vilivyopita.
Hayo
yamebainishwa na Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto Dar es
Salaam leo wakati akitoa tamko la kamati kuu ya chama hicho kuhusu hali
ya nchi baada ya kikao cha kawaida kilichofanyika jana.
Kabwe
alisema katika miaka 10-15 iliyopita, nchi yetu imejenga uchumi ambao
umekuwa ukikua kwa kiwango cha asilimia 6-7 kwa mwaka katika kipindi
chote hiki. Ukuaji huu wa uchumi ulitokana na juhudi za nchi katika
kuvutia wawekezaji na kuchochea shughuli za uzalishaji mali kwa wananchi
wenye kipato cha chini.
Alisema
awamu ya tano ya Serikali ya Chama cha Mapinduzi imerithi changamoto ya
uchumi unaokua bila kuwafaidisha wananchi wa kawaida. Hili ndilo
tulitegemea Serikali mpya ishughulike nalo.
MUWSA YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE YA MSINGI MANDELA MJINI MOSH
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro.Said Mecky Saidiq akiwasili katika shule ya
msingi Mandela iliyopo kata ya Bomabuzi wilaya ya Moshi kwa ajili ya
kupokea msaada wa Madawati yaliyotolewa na Mamlaka ya Maji safi na usafi
wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA).
Wanafunzi katika shule ya Msingi Mandela wakiimba nyimbo wakati wakipokea wageni waliofika katika tukio la kukabidhi madawati.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) Joyce
Msiru akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadiq
alipowasili katika shule ya msingi Mandela kwa ajili ya kukabidhiwa
Madawati.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Saidiq akiwa na Mkuu wa wilaya ya
Moshi,Kippi Warioba (kushoto) pamoja na Mstahiki Meya wa Manispaa ya
Moshi,Raymond Mboya (kulia) wakati wa makabidhiano ya Madawati kwa ajili
ya shule ya msingi Mandela.
WADAU WAJADILI MPANGO KAZI WA KUENDESHA SHUGHULI ZA SERIKALI KWA UWAZI (OGP) WA AWAMU YA TATU
WAFANYAKAZI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WATINGA MAHAKAMANI
Na Woinde shizza,Arusha
Wafanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamefungua kesi kumshtaki Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo kwa madai ya kuvunja mikataba ya ajira.
Kesi hiyo wameifungua katika Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACJ) kitengo cha awali.
Wafanyakazi watatu kutoka Idara ya Amani na Usalama Katibu Mkuu huyo alivunja mikataba yao ya ajira kinyume na agizo la Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliyoyatoa kwenye mkutano wa nyongeza
wa 31 na kwa kuzingatia Kanuni ya 96 ya taratibu za wafanyakazi wa EAC ya mwaka 2006.
Wanadai kuwa walipokea barua kutoka Masjala ya EAC yenye notisi ya miezi mitatu ya kusitishwa kwa ajira zao iliyowekwa saini na katibu mkuu huyo, huku ikieleza kuwa EAC haina fedha za kuendeleza mradi wa APSA unaopata fungu kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Umoja wa Afrika (AU).
NCHI YA SUDANI KUSINI YAINGIA RASMI KUWA MWANACHAMA WA EAC
Nchi za jumuiya wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki chini ya mwenyekiti wa nchi hizo Dr John Pombe Magufuli hii leo wamepokea hati ya udhibitisho wa nchi ya Sudani Kusini kuwa miongoni mwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
Awali mapema mwaka huu walitia saini makubaliano ya kutaka kujiunga na kuwa mmoja wan chi jumuiya wanachama ambapo wataalamu kutoka nchi wanachama ambapo Rais Magufuli ndiye mwenyekiti kiongozi wa jumuiya hiyo walizingatia vigezo na masharti vya kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo ambapo leo hii yamekamilika.
Awali akizungumza mbele ya wajumbe kutoka sudani kusini katibu mkuu wa jumuiya ya Afrika Mashariki Liberat Mfumukeko alisema kuwa jumuiya hiyo imepokea hati ya uthibitisho wa wanachama wapya wa jumuiya ya Afrika mashariki na kwamba wanasubiri Mwenyekiti John Magufuli kuidhinisha rasmi katika Mkutano wa wakuu wa nchi unaotarajiwa kufanyika jijini Daresalaam septemba 8 mwaka huu.
Kwa upande wake Mshauri wa Rais wa Sudan kusini katika masuala ya Kiuchumi Aggrey Tisa Sabun ambapo alisema kuwa wamekuwa wakitamani muda mrefu kuwa nchi wanachama na kwamba kuleta hati ya maakubaliano ni hatua moja wapo ya muunganiko huo.
Nao Alex mushi na Vailet mushi wanajumuiya ya Afrika mashariki wanasema kuwa Sudani Kusini Kujuinga na jumuiya hiyo ina faida mbalimbali ikiwemo masuala ya uchumi lakini pia nchi za jumuiya zinapaswa kufikiri Zaidi na kumaliza machafuko ambayo yanaendelea katika nchi hiyo kwani hali hiyo inatia ho
Nae Waziri wa mambo ya nje ushirikiano wa Kimataifa Agustine Maiga ambapo alisema kuwa wamepokea nyaraka hizo kwa niaba ya Mwenyekiti Rais Magufuli na kwamba hivi sasa wanaruhusiwa kushiriki katika vikao vyote kuanzia sasa na wamekuwa wanachama rasmi wa jumuiya hiyo na watapata fursa mbalimbali kama nchi mwanachama.
Kutokana na Sudan ya Kusini kuingia rasmi katika jumuiya hiyo ipo haja ya nchi kuendelea kuwa wamoja na kwamba waweze kukaa pamoja na kutatua changamoto na machafuko yaliyoko katika nchi hizo , ikiwemo kutafuta ufumbuzi wa mapigano nchini humo na kuwezesha wanajumuiya kutafuta fursa za kibiashara nchini humo.
RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA ENEO LILILOKUWA NA NYUMBA ZA MAGOMENI KOTA, AONGEA NA WAAKAZI WAKE
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana
na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe
Paul makonda, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Ali Hapi na viongozi
wengine akitembelea eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam
leo Septemba 6, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana
mikono na mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota
Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa
Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
MWENYEKITI WA BODI YA PAROLE AMTEMBELEA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA.
Sanaa za Mikono....
Mratibu
wa Maonyesho ya Sanaa za Mikono kwa Afrika Mashariki Bi. Nakaaya Sumari
akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) na baadhi ya wadau
waliokuja kwenye uzinduzi wa Maonyesho hayo kwa vyombo vya habari,
vinavyotarajiwa kufanyika mwezi septemba 23 hadi 25 2016, Jijini Arusha
Sanaa za Mikono....
Sanaa za Mikono....
Sanaa za Mikono....
Ramadhani Mvungi (Star Tv ) na Ihucha Adam (EABC-PR)wakiteta jambo....
Mpiga Picha Kapigwa Picha Akionyesha Picha kwa wapigwa picha na mpiga Picha...
Mtangazaji Maarufu wa AZAM TV (Idd Uwesu ) katika Ubora wake....
ADAM IHUCHA,
CRAFTS
producers in East Africa will soon be able to sell their products to
international markets following the plans to establish an annual professional
for Business-to-Business (B2B) trade fair for Home Décor, Fashion Accessories
and Lifestyle products in the region.
Currently, there is no B2B trade
platform for the crafts sector in the whole of East African region.
The Africa and Middle East World Fair
Trade Organization (WFTO) regional director, Mr Bernard Outah said there is
need to establish B2B so that producers could easily sell their products to any
country of their choice without problem.
He said, at the moment, the only option for producers to reach
regional or international buyers is to travel around the region in search of
potential buyers or to participate in trade fairs in South Africa, West Africa
or International trade fairs in Europe or the US. He said the high cost of
participation fails most of African crafts producers from attending
international trade fairs.
“Failure to access market opportunities is one of the key
challenges that face most of African crafts producers in East African region,”
he said. According to Mr Outah, the establishment of B2B will enable East
African crafts producers to excel in the area and boost their businesses at
both local and international levels.
Meanwhile, the public has been urged to recognize the crafts
sector as a key economic sector in the region and offer required support so
that it can unfold its potentiality. CBI programme manager for the export
coaching programme in East Africa Ms Heiydy van der Ploeg said there is need to
promote and give support to craft sector so that it could help in building up
East African countries economies.
According to UNESCO, the crafts sector is the second largest
employer in the developing world behind agriculture. Most of those engaged in
crafts are majority women with little or no education.
The global crafts sector is valued at USD 34bn/- per annum and
65 percent of global crafts exports come from developing countries. East Africa
is one of the most important crafts producing regions on the African continent.
Its geographical location has made it a melting pot of different
cultures, resulting in a rich diversity of crafts skills and products.
The Chief Executive Officer (CEO) for TradeMark East Africa
(TMEA), Mr Frank Matseart said crafts are important part of the East African
trade story but it receives little input from various stakeholders.
He added that a growing tourism sector in the region offers the
potential to sell products to tourists through souvenir and gift shops.
“Many hotels and lodges, besides sourcing products for their own
in-house gift shops also look for interior decoration products to decorate
their houses,” he said.
For the first time, professional craft trade fair is scheduled
to take place in the country from September 23rd to 25th, this year.
No comments :
Post a Comment