TIMU YA ARSENAL YAIZAMISHA MANCHESTER CITY KWA MAGOLI 3-2
STARTIMES YACHANGIA MADAWATI MKOANI MTWARA
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Bi. Anastazia Wambura (kushoto) pamoja na Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (kulia) wakiwa wamekaa kwenye madawati hayo.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Bi. Anastazia Wambura (kulia) , akizungumza wakati wa kupokea madawati hayo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mh. Dkt. Khatib Malimi Kazungu
Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (kushoto), akizungumza wakati wa kukabidhi madawati hayo.
MTATURU: WANANCHI WANATAKIWA KUFUGA KUKU SIO KUISHI NA KUKU
Mkuu
wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu akikagua kuku waliofungwa
kisasa ambapo jogoo mmoja aliyefikisha umri wa mwaka mmoja anauzwa
shilingi 20,000.
Mkuu
wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu akisaini kitabu cha wageni
mara baada ya kuwasili katika banda la maonesho ya Nanenane la
Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi.Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu akisikiliza kwa makini maelekezo kutoka kwa Rehema F. Malila kutoka Kijiji cha Unyangwe, Kata ya Iseke ya namna usindikaji unavyofanyika Wilayani humo.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu akipata ufafanuzi kutoka kwa Mratibu wa Mfuko wa Afya ya jamii (CHF) Edward Bulilo Maselo alipotembelea banda la maonesho la Halmashauri ya Wilaya ya Singida juu ya umuhimu wa jamii kujiunga na mfuko huo
MAJALIWA AWASILI MBEYA
MATARUMA YA KIWANDA CHA KONGOLO CHA TAZARA-MBEYA KUJENGA RELI YA KISASA
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa(Kushoto)
akitoa maelekezo kwa Afisa Mfawidhi Kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri
wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) Bw.Denis Daudi, wakati alipokagua
huduma za mabasi katika kituo cha nane nane Mkoani Mbeya.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa pili Kushoto), akikagua moja ya kifaa kinachotumika kwenye Reli wakati alipotembelea kiwanda cha Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia(TAZARA), Kongoro Qwarre kilichopo Mkoani Mbeya.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa tatu kushoto) akikata moja ya kifaa kinachotumika kujengea reli wakati alipotembelea kiwanda cha Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia, Kongoro Qwarre kilichopo Mkoani Mbeya.

WANANCHI WAZIDI KUFURAHIA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI
![]() |
| Mmoja wa wananchi waliotembelea maonesho ya Kilimo na Mifugo ya Nanenane Kanda ya Kaskazini yanayofanyika kwenye uwanja wa Taso Themi akipata maelezo kwenye banda la kampuni ya Simba Cement |
![]() |
| Meneja Mauzo wa Simba Cement mkoa wa Arusha,Christopher Mgonja(kulia)akimkabidhi mmoja wa wananchi waliotembelea banda hilo,Thomas Mollel kofia na tisheti . |
![]() |
| Bwana Shamba wa kampuni ya mbegu ya Seed Co,Lukinga Miho akizungumzia kampuni hiyo kuanza kuzalisha mbegu za mbogamboga ambazo zina soko kubwa ndani na nje ya nchi. |
LIVERPOOL YAICHAKAZA BARCELONA KWA MAGOLI MANNE KWA UBUYU
Timu
ya Liverpool ya Uingereza imeichakaza Barcelona kwa magoli 4-0 katika
mchezo wa kombe la Kimataifa la Mabigwa katika dimba la Wembley.
Katika
mchezo huo Sadio Mane alikuwa wakwanza kuifungia Liverpool goli
kufuatia shambulizi lililofanywa kwa kuwahusisha Adam Lallana na
Philippe Coutinho.
Mchezaji
wa zamani wa Liverpool Javier Mascherano alijifunga baada ya kipindi
cha pili na kuizawadia timu yake hiyo ya zamani goli la pili.
Divock
Origi aliongeza goli la tatu kwa Liverpool kwa kuupitisha mpira kati
kati ya miguu ya Claudio Bravo na baadaye Marko Grujic alifunga goli
la nne kwa kichwa cha kunyanyua.
Mchezaji mpya wa Liverpool Sadio Mane akiifungia timu hiyo goli la kwanza
Mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi akishangilia goli lake alilofunga
Kipigo kikiwaacha hoi wachezaji wa Barcelona Luis Suarez na Lionel Messi
PAUL POGBA NA RAPA DRAKE WATANUA PAMOJA KWENYE KLABU MAREKANI
Urafiki
baina ya rapa Drake na Paul Pogba umeendelea kushika kasi baada ya
wawili hao kupigwa picha wakiondoka kwenye klabu ya usiku Jijini New
York Marekani jana majira ya alfajiri.
Rapa
huyo Mmarekani na mchezaji mpira anayesakwa kwa fedha nyingi,
wamekuwa wakila bata, huku Pogb akimkabidhi Drake jezi yake ya
Juventus aliyoiweka saini yake baada ya kuhudhuria tamasha huko
Madison Square Garden.
Pogba akimpatia Drake t-shirt yake ya Juventus yenye jina lake
Paul Pogba akitoka klabu baada ya kuponda starehe Jijini New York
Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa
TAMISEMI Jafo Suleiman Said akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi
Miraji Jumanne Mtaturu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa maonesho
ya nane nane Nzuguni mjini Dododma

TAMISEMI Jafo Suleiman Said akisikiliza kwa makini maelezo ya kilimo cha
mbogamboga yanayofanywa na Jeshi la kujenga Taifa JKT
Waziri
wa Tamisemi,George Simbachawene akipata Maelezo mafupi ya Mpango wa
Toto Afya Kadi pamoja na KIKOA,Toka Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya Mkoa
wa Lindi,Fortunata Kullaya,Baada ya Waziri Huyo Kuembelea Mabanda
Mbalimbali ya Maonesho ya Nane nane Kanda Ya Kusini,Viwanja vya Ngongo
Lindi
Waziri
Simbachawene akipokea Vipeperushi vya Mfuko wa Bima ya Afya Toka kwa
Sabina Komba kwa Niaba ya Mkurugenzi mkuu wa NHIF Mara baada ya kumaliza
kukagua Banda la Mfuko huo linalotoa Huduma mbalimbali za
Ushauri,Upimaji pamoja na Uandikishaji wa wanachama ikiwemo wa CHF
Mwenyekiti
wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya ya ikungi ambaye ni Mkuu wa
Wilaya Miraji Jumanne Mtaturu akikagua vijana wa mafunzo ya Mgambo
kutoka vijiji vitano vya Dung’unyi, Munkinya, Kipumbuiko, Samaka na
Damankiya vinavyounda Kata ya Dung’unyi katika Tarafa ya Ikungi
Kundi
la vijana wa Mgambo kutoka Kijiji cha Ighombwe, Jerumani, na Mahonda
wakionyesha umahiri wao katika mafunzo waliyoyapata mbele ya mgeni rasmi
kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo katika Tarafa ya Sepuka

Wilaya Miraji Jumanne Mtaturu akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa
kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Ikungi

wakimsikiliza mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo katika Tarafa
ya Sepuka
Waziri Simbachawene akipokea Vipeperushi mbali kuhusiana na Shughuli zinazotekelezwa na Mamlaka Hiyo
Picha na Na ; Abdulaziz ,Lindi
Picha
ya pamoja kati ya watumishi wa SSRA na Baadhi ya wadau waliotembelea
Banda Hilo Ikiwemo wakulima waliotembea Kujifunza jinsi Mifuko ya Jamii
Inavyojiendesha Chini ya Usimamizi wa Mamlaka Hiyo
Mmoja
wa Wanachama wa Mifuko ya Jamii Ambae alijitambulisha Kwa Mstaafu
Mtarajiwa Akipokea Vipeperushi vya Mamlaka Hiyo Toka kwa Sarah Msika
Afisa
Uhusiano na Uhamasishaji SSRA,Ally Masaninga akikabidhi Zawadi kwa Bi
Saida,Afisa Vijana Mkoa wa Lindi Alietembelea Banda la Mamlaka Hiyo
katika Viwanja Vya Ngongo Lindi Manispaa
Wazanzibari wakimsikiliza Maalim Seif (Picha na Swahilivilla)
Alifafanua kauli hiyo kwa kusema kuwa kuna Wabunge wengi wa CUF ambao ni
wasemaji wazuri na wakosoaji wakubwa wa Serikali, lakini hawakufungiwa
ili watu wenye nyoyo dhaifu waone kuwa CUF ni wasaliti, au vibaraka.
Aidha, mwanasiasa huyo shupavu, aliifananisha hali ilivyo Bungeni na uwanja wa vita kutokana na kuwepo kwa askari wengi ambao mara kadhaa wamekuwa wakiingia ndani ya Bunge."Ukienda Bungeni utadhani uwanja wa vita", alisema.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) Dk. Ayoub Rioba akimkabizi
kitabu ta wageni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Thobias Andengenye alipotembelea ofisi za Shirika hilo mikocheni mapema
leo asubuhi. PICHA ZOTE NA FC GODFREY PETER)
Kamishna
Jenerali Thobias Andengenye (wa kwanza kushoto) akisaini kitabu cha
wageni alipotembelea ofisi za Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) wa
kwanza kulia ni Mkurugenzi mkuu wa TBC Dk. Ayoub Rioba na wa pili ni
Kaimu Kamishna wa Usalama dhidi ya moto Fikiri Salla .
Mkurugenzi wa Matukio wa Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) Bi Martha Swai (wa kwanza kulia) akitoa maelezo jinsi ya upokeaji wa habari za matukio mbalimbali kwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye (katikati) alipotembelea ofisi hizo mapema leo asubuhi (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi mkuu wa Shirika hilo Dk. Ayoub Rioba .
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye aliyesimama mbele, akimsomea taarifa ya Jeshi hilo Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) Dk. Ayoub Rioba alipotembelea ofisi za Shirika hilo mapema leo asubuhi
Kikao kikiendelea
Kamishna Jenerali Thobias Andengenye (katikati) akipokea maelezo jinsi ya chumba cha matangazo kinavyofanya kazi (Studio) kutoka kwa Mtangazaji Bi Anna Mwasioke hayupo pichani, (kushoto) ni Mkurugenzi mkuu wa TBC Taifa
Viongozi
wa dini wanaounda Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam, wakiomba dua
kuombea ujenzi wa Uwanja wa Jengo la Tatu katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere walipofanya ziara ya siku moja kutembelea
jengo hilo Dar es Salaam jana.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA), Mohamed Milanga akitoa maelezo kwa viongozi hao wa dini
waliotembelea uwanja huo Dar es Salaam jana.
Mwonekano wa uwanja huo unaojengwa.
Mwonekano wa chumba cha wasafiri katika jengo hilo.
Baadhi ya wakandarasi wa ujenzi huo.
Askofu, Stephen Mang'ano wa Kanisa la Menonite (kushoto), akiongoza maombi ya kuombea ujenzi wa uwanja huo.
Kaimu
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Ramadhan Maleta (wa
pili kulia), akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo hilo mbele ya viongozi
wa dini wanaounda Kamati ya Amani.
Meneja wa Mradi wa ujenzi wa jengo hilo, Wolffgang Marschick akizungumza na viongozi hao wa dini.
Viongozi
hao wa dini wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere baada ya kukamilisha ziara
yao. Na Dotto Mwaibale
MWANARIADHA WA AFRIKA KUSINI OSCAR PISTORIUS AUMIA AKIWA GEREZANI
NAIBU WAZIRI JAFO: WATANZANIA WANAPASWA KUTHAMINI BIDHAA ZINAZOZALISHWA NDANI YA NCHI
Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa
TAMISEMI Jafo Suleiman Said akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi
Miraji Jumanne Mtaturu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa maonesho
ya nane nane Nzuguni mjini Dododma
Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa
TAMISEMI Jafo Suleiman Said akisikiliza kwa makini maelezo ya kilimo cha
mbogamboga yanayofanywa na Jeshi la kujenga Taifa JKTAFRICAN SPEAKERS LOBBY FOR A STRONGER CONTINENTAL ASSEMBLY -WANT AU MEMBER STATES TO RATIFY MALABO PROTOCOL
A section of the African Speakers in attendance
The Prime Minister of Lesotho, Rt Hon Bethuel Pakalitha Mosisili opens the 8th Conference of Annual Speakers at the PAP headquarters in Midrand, South Africa.
GOOD TO SEE YOU: PAP President, H.E. Roger Nkodo Dang and the EALA Speaker, Rt Hon Daniel F. Kidega in consultation.
EALA Speaker, Rt Hon Daniel F. Kidega shares a light moment with ECOWAS Speaker, Rt Hon Moustapha Cisse earlier today.

East
African Legislative Assembly, Midrand, South Africa: August 5, 2016:
The 8th Annual Conference of Speakers has opened in Midrand, South
Africa. In attendance at the two-day Conference whose theme is from
“Adoption of the African Union Treaties in particular the new Protocol
of the PAP” are over 30 Speakers from the National Assemblies and
Regional Parliaments in the continent.
The Prime Minister of Lesotho, Rt Hon Bethel Pakalita Mosisili opened the two-day conference.
In his remarks, the Prime Minister reiterated the importance of ratifying the Constitutive Act of the African Union relating to the Pan-African Parliament that empowers the continental Assembly to execute its mandate to accord credence to the AU Policies and programmes.
The Prime Minister called for popular participation and engagement of citizens in the processes. “It is absolutely critical that we carry our people along. It cannot and must not be a leaders’ or a Governments’ issue alone. Our people must fully comprehend, accept and own the process. The need for concerted education on the matter cannot be overemphasized. This is so as to avoid a repeat of what happened in Europe – Brexit”, he added.

“African
States are urged to sign and ratify the Malabo Protocol. In addition,
a balance of legislative powers must be struck between the National
Parliaments and the Continental Assembly (PAP) to ensure acceptability
as we move towards continental free trade area and continental
integration” the Premier said.
The Prime Minister called for popular participation and engagement of citizens in the processes. “It is absolutely critical that we carry our people along. It cannot and must not be a leaders’ or a Governments’ issue alone. Our people must fully comprehend, accept and own the process. The need for concerted education on the matter cannot be overemphasized. This is so as to avoid a repeat of what happened in Europe – Brexit”, he added.
SIMBACHAWENE AVUTIWA NA MPANGO WA TOTO AFYA KADI UNAOTOLEWA NA NHIF
DC IKUNGI AFUNGUA MAFUNZO YA MGAMBO
Mwenyekiti
wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya ya ikungi ambaye ni Mkuu wa
Wilaya Miraji Jumanne Mtaturu akikagua vijana wa mafunzo ya Mgambo
kutoka vijiji vitano vya Dung’unyi, Munkinya, Kipumbuiko, Samaka na
Damankiya vinavyounda Kata ya Dung’unyi katika Tarafa ya Ikungi
Kundi
la vijana wa Mgambo kutoka Kijiji cha Ighombwe, Jerumani, na Mahonda
wakionyesha umahiri wao katika mafunzo waliyoyapata mbele ya mgeni rasmi
kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo katika Tarafa ya Sepuka
Mwenyekiti
wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya ya ikungi ambaye ni Mkuu wa
Wilaya Miraji Jumanne Mtaturu akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa
kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Ikungi
Kundi
la vijana wa Mgambo kutoka Kijiji cha Ighombwe, Jerumani, na Mahonda
wakimsikiliza mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo katika Tarafa
ya SepukaWAZIRI SIMBACHAWENE AKAGUA BANDA YA SSRA,MAONESHO YA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO LINDI
Picha na Na ; Abdulaziz ,Lindi
DIWANI WA CHADEMA ASWEKWA NDANI KWA KUKIUKA MAADHIMIO YA BARAZA LA MADIWANI WILANI IKUNGI
Kutoka
Kushoto ni Eng Sadick Chakka Mhandisi wa Maji Wilaya ya Ikungi, Mkuu wa
Wilaya ya Ikungi Miraji jumanne Mtaturu, Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Rustika Turuka, Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ally J. Mwanga, na Kulia ni Abel Suri
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi.
Na Mathias Canal, Singida
Jeshi la polisi Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida limemtia nguvuni Diwani wa Kata ya Iseke kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Emmanuely Njingu kwa kosa la kukwamisha shughuli za serikali kwa kuzuia watendaji wa serikali kufanya kazi yao ikiwemo ukusanyaji wa mapato.
Njingu ambaye alikuwa mjumbe wa kamati ya fedha awali kabla ya kuwekwa nguvuni na jeshi la polisi alivuliwa ujumbe wa kamati hiyo kutokana na kukiuka taratibu na makubaliano ya baraza la madiwani jambo ambalo limepelekea kuhamishiwa katikakamati nyingine.
Akitoa taarifa ya kukamatwa kwa diwani huyo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ambaye ni Diwani wa Kata ya Irisia Ally Juma Mwanga amesema kuwa Diwani huyo amekamatwa kwa mujibu wa sheria hivyo yeye kama mwenyekiti hawezi kuingilia taratibu, sheria,na kanuni za serikali.
Mwanga amesema kuwa tarehe 19 mwezi Julai moja ya maadhimio ya kamati ya fedha na vikao vya baraza ilikuwa ni kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri lakini diwani huyo amekiuka makubaliano hayo kwa kung’oa mageti ya vizuizi vya barabarani kwa ajili ya ukaguzi wa mazao jambo ambalo limepelekea kuzorota kwa ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri.
Ameongeza kuwa Mjumbe yeyote anayekiuka maazimio wanayokubaliana na kutoa siri za kamati adhabu yake kisheriani kupoteza sifa ya kuwa mjumbe wa kamati husika.
Amesema diwani huyo ameondoshwa katika nafasi hiyo baada ya maridhiano ya kamati hiyo na kukubaliana kumuhamishia katika kamati nyingine ya huduma za uchumi.
“Jambo mkishakubaliana kisheria tena kwenye vikao vya kisheria maana yake linakuwa ni sheria hivyo kwa kiongozi yeyote akikiuka taratibu za kisheria zinachukua mkondo wake, kanuni za Halmashauri ni za watu wote hazichagui upande mmoja” Alisema Mwanga
Hapo jana Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu alihutubia Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya hiyo ikiwa ni mara yake ya mwanzo kabisa tangu alipochaguliwa na Rais John Magufuli kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo ambapo pamoja na kuzungumzia kuwepo kwa changemoto ya uhaba wa maabara, afya duni na miundombinu pia alizungumzia kuhusu ukusanyaji hafifu wa mapato jambo ambalo linairudisha nyuma Halmashauri ya Wilaya hiyo.
Bajeti ya Wilaya ya Ikungi kwa Mwaka 2013/2014 ilikuwa na Shilingi 509,701,044 namakusanyoyakeyakawa ni 338,325,000 ambapo hata hivyo mwaka ulimalizika kwa kuwa na upungufuwa shilingi 171,376,044.
Mwaka 2014/2015 ilipangwa bajeti ya shilingi 631,455,000 lakini makusanyo yake yakawa ni shilingi 457,555,172 ambapo mwaka ulimalizika kwa kukusanya 173,899,828.
Mwaka wa bajeti 2015/2016 bajeti ya Halmashauri iliyopangwa ilikuwa ni shilingi 1,127,030,000 makusanyo yalikuwa ni 679,283,000 ambapo hata hivyo mwaka ulimalizika kwa kwa kuwa na upungufu wa shilingi 450,747,000 hivyo kwa miaka mitatu Halmashauri hiyo imeshindwa kufikia malengo ya ukusanyaji.
Mwanga amesema kuwa Kutofikiwa malengo hayo kumesababishwa na kutopewa ushirikiano watendaji katika ukusanyaji wa mapato hii ikiwa ni kufuatia kauli za mazuio zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa.
Hata hivyo ametoa Mwito kwa viongozi wa serikali, wanasiasa, taasisi za dini na wananchi kushirikiana kwa pamoja ili kufikia malengo ya kuifanya Ikungi kukua kiuchumi .

MAALIM SEIF AZUNGUMZA NA WAZANZIBARI BOSTON
Karibuni
wapenzi Wasomaji wetu katika sehemu ya nne ya mfululizo wetu wa makala
ya "Maalim Seif azungumza na Wazanzibari Boston" katika mkutano wake na
Wazanzibari uliofanyika katika jimbo la Massachusetts, Marekani 30 Julai
2016.
Katika sehemu iliyopita, Maalim Seif alielezea kile kilichotokea katika uchaguzi wa Oktoba, 2015 mpaka uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20, 2016. Sasa endelea na sehemu ya nne:

Baada ya Uchaguzi wa Marudio
Kile kinachoitwa uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, hakikupata uungwaji mkono tangu ndani hadi nje ya visiwa hivyo. Jamii ya Kimataifa ilikataa kushiriki katika uangalizi wa uchaguzi huo kwa vile haukuwa na mashiko yoyote ya Uhalali.
Na kwa upande wa ndani, Chama Kikuu cha upinzani Cha Wananchi (CUF) ambacho kiliususia uchaguzi huo hakikuitambua serikali mpya iliyoundwa na Mheshimiwa Ali Mohammed Shein, na kikaamua kuisusia kama kilivyoususia uchaguzi wenyewe.
Maalim Seif alisema kuwa wananchi wa Zanzibar wameigomea serekali hiyo na sasa iko taabani, na kusisitiza: "Na wala hatushirikiani nayo kwa jambo lolote lile" Aliendelea kuelezea kuwa CUF walikaa kimya kwa muda, jambo ambalo liliwafanya viongozi wa chama Tawala cha CCM waamini kuwa wamemaliza Simba wa Nyika.

"Tulikaa
kimya kwa muda na wao wakadai CUF tumeimaliza......, mpaka tulipoanza
ziara za Wilaya mbalimbali Unguja na Pemba zikifuatiwa na kuwatembelea
wagonjwa..."
Ni vizuri kukumbusha kuwa Maalim Seif alianza ziara zake hizo kwa kuzitembelea wilaya za Pemba ambako alipokelewa na halaiki ya wananchi waliokuwa wakisema "raisi..raisi...raisi". Kufuatia ziara hizo aliitwa Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na kuhojiwa kwa muda wa masaa kadhaa.
Mgomo wa wananchi umeimarika, na umekuwa ukiitikisa serikali na kupelekea ukamataji ovyo wa wananchi kinyume na sheria: "Wameghumiwa, mgomo wa wananchi umeshika kasi...., wakaanza kukamata watu kinyume cha sheria" alisisitiza Maalim Seif.
Badala ya kushughulikia maendeleo ya nchi, serikali imejikita kwenye mikakati ya kuimaliza CUF na wafuasi wake. Hata hivyo, mikakati hiyo imekuwa ikiwaathiri wananchama wa CCM pia. Alitoa mfano wa sakata la kukamatwa ng'ombe na wenyewe kutakiwa kwenda kuwagomboa.
"Kila wanachofanya ni kuwamaliza CUF, lakini ukweli ni kwamba wenye ng'ombe wengi ni wanachama wa CCM", alisema . Maalim Seif aliendelea kufafanua juu ya dhulma wanazofanyiwa raia na mali zao na kutoa mfano wa "jumba la treni", kwa kusema "Watu walihamishwa, kwa ajili ya ukarabati wa jengo lile, na mpaka leo hata ramani haipo" Itakumbukwa kuwa michoro ya kile kinachodaiwa kuwa ni ramani mpya ya mwonekano wa jengo hilo litakavyokuwa ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii, lakini kwa mujibu wa maelezo ya Maalim Sif, ilikuwa ni kiini macho tu.
Aidha Maalim Seif alifafanua kuwa Mji Mkongwe ni sehemu ya Turathi za Kimataifa. Kwa hivyo uvunjaji wa jengo lolote la kihistoria unapaswa kupata ridhaa ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni. Hata hivyo, mpaka wakati tunaingia mitamboni hakuna karatasi yoyote inayoonesha kuwa tayari Serikali ya Zanzibar imewasiliana na kushauriana na shirika hilo.

Kwa hivyo ni wazi kuwa uhamishwaji wa wanachi kutoka jengo la treni ulikuwa na malengo ya kisiasa na kuwadhalilisha wananchi.
Upande wa Tanzania.
Kwa vile Tanzania ni Jamhuri ya Muungano nchi mbili huru Tanganyika na Zanzibar, yanayotokea upande mmoja yanaathiri upande mwengine wa Muungano huo kwa njia moja au nyengine. Kwa hivyo, Makamo wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, hakusahau kuigusia hali ilivyo nchini Tanzania chini ya Utawala wa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Maalim Seif aliilezea hali ilivyo nchini Tanzania kisiasa kuwa si yakuridhisha, na serikali iliyopo madarakani inaipelekea nchi pabaya.
Maalim Seif alikosoa hatua ya kuzuiliwa vikao vya Bunge kuonehswa moja kwa moja kwenye televisheni, na kusema lengo lake kuu ni kuua upinzani. Hii ni kutokana na kuwa Bunge lenye mijadala huru ndilo linalojenga upinzani.
Akakosoa hatua ya Wabunge 11 wa upinzani kuzuiliwa kushiriki katika vikao vya Bunge bila ya sababu yoyote ya kimsingi: "Nini kosa lao?, alihoji Maalim Seif, na kujibu mwenyewe kuwa: "Kosa lao kubwa ni kuikosoa Serikali".
Alielezea masikitiko yake kuwa majimbo ambayo Wabunge wao wamezuiliwa yatakosa uwakilishi Bungeni kwa muda mrefu kwani wengine wamefungiwa mpaka mwezi wa Januari mwakani.
Akijibu swali iwapo kuna Mbunge yeyote wa CUF kati ya 11 waliofungiwa, Maalim Seif mwenye upeo wa kuona mbali alisema kuwa hakuna Mbunge yeyote kutoka chama hicho kati ya hao walioathirika na hatua hiyo na kusisitiza: "Nia ni kuugawa upinzani, ili waseme kuwa CUF ni wasaliti"
Upande wa Tanzania.
Kwa vile Tanzania ni Jamhuri ya Muungano nchi mbili huru Tanganyika na Zanzibar, yanayotokea upande mmoja yanaathiri upande mwengine wa Muungano huo kwa njia moja au nyengine. Kwa hivyo, Makamo wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, hakusahau kuigusia hali ilivyo nchini Tanzania chini ya Utawala wa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Maalim Seif aliilezea hali ilivyo nchini Tanzania kisiasa kuwa si yakuridhisha, na serikali iliyopo madarakani inaipelekea nchi pabaya.
Maalim Seif alikosoa hatua ya kuzuiliwa vikao vya Bunge kuonehswa moja kwa moja kwenye televisheni, na kusema lengo lake kuu ni kuua upinzani. Hii ni kutokana na kuwa Bunge lenye mijadala huru ndilo linalojenga upinzani.
Akakosoa hatua ya Wabunge 11 wa upinzani kuzuiliwa kushiriki katika vikao vya Bunge bila ya sababu yoyote ya kimsingi: "Nini kosa lao?, alihoji Maalim Seif, na kujibu mwenyewe kuwa: "Kosa lao kubwa ni kuikosoa Serikali".
Alielezea masikitiko yake kuwa majimbo ambayo Wabunge wao wamezuiliwa yatakosa uwakilishi Bungeni kwa muda mrefu kwani wengine wamefungiwa mpaka mwezi wa Januari mwakani.
Akijibu swali iwapo kuna Mbunge yeyote wa CUF kati ya 11 waliofungiwa, Maalim Seif mwenye upeo wa kuona mbali alisema kuwa hakuna Mbunge yeyote kutoka chama hicho kati ya hao walioathirika na hatua hiyo na kusisitiza: "Nia ni kuugawa upinzani, ili waseme kuwa CUF ni wasaliti"
Aidha, mwanasiasa huyo shupavu, aliifananisha hali ilivyo Bungeni na uwanja wa vita kutokana na kuwepo kwa askari wengi ambao mara kadhaa wamekuwa wakiingia ndani ya Bunge."Ukienda Bungeni utadhani uwanja wa vita", alisema.
KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI ATEMBELEA SHIRIKA LA TAIFA LA UTANGAZAJI (TBC)
Mkurugenzi wa Matukio wa Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) Bi Martha Swai (wa kwanza kulia) akitoa maelezo jinsi ya upokeaji wa habari za matukio mbalimbali kwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye (katikati) alipotembelea ofisi hizo mapema leo asubuhi (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi mkuu wa Shirika hilo Dk. Ayoub Rioba .
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye aliyesimama mbele, akimsomea taarifa ya Jeshi hilo Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) Dk. Ayoub Rioba alipotembelea ofisi za Shirika hilo mapema leo asubuhi
Kikao kikiendelea
Kamishna Jenerali Thobias Andengenye (katikati) akipokea maelezo jinsi ya chumba cha matangazo kinavyofanya kazi (Studio) kutoka kwa Mtangazaji Bi Anna Mwasioke hayupo pichani, (kushoto) ni Mkurugenzi mkuu wa TBC Taifa

No comments :
Post a Comment