Pages

Saturday, September 30, 2017

Africa: Post-AGOA - Moving to a Reciprocal US-Africa Trade Arrangement

Photo: Addis Fortune
The Anbesa factory in Addis Ababa produces shoes that are exported under.the AGOA trade pact to the United States for sale by several leading brands.
Blog
Washington, DC — The global trade environment is rapidly changing and already affecting the U.S.-Africa trade relationship. Indeed, the African Growth and Opportunity Act (AGOA) was not intended

Tanzania Ready for Phase Two of SGR From Morogoro to Dodoma

Photo: Daily News
President John Magufuli inspects a section of the Standard Gauge Railway project after laying the foundation stone at Pugu Station on the outskirts of Dar es Salaam (file photo).
The Tanzanian government will soon launch the second phase of the construction of the standard gauge railway (SGR) line to link the commercial city of Dar es Salaam with the capital of Dodoma.

Tanzania: #WhatWouldMagufuliDo? We're Just Finding Out

Photo: allafrica.com
Tanzania's President John Magufuli.
analysis
There was a time in late 2015 and early 2016 - when Tanzania's President John Magufuli had only just been elected - that the man they call 'The Bulldozer' could do no wrong.

Tanzania: Uncertainty Clouds Tanzania Gas Investment As Low Prices Persist

Photo: The Citizen
Proposed liquefied natural gas plant.
The recent downturn in the oil and gas world market has made potential investment in Tanzania's gas sector uncertain, decreasing the likelihood that gas will have a major impact on the country's economic growth in the near future.

UFUNGUZI WA AWAMU YA PILI YA UINGIZAJI MAFUTA WA PAMOJA WAFANYIKA ZANZIBAR.

DSC_0924
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Haji Kali Haji akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Zanzibarkwa miezi miwili Novemba na Disemba, hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
DSC_0929
Baadhi ya Wawakilishi wa Makampuni yalioomba zabuni ya Uingizaji Mafuta wakijitambulisha katika Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na Disemba, hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
DSC_0942
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Haji Kali Haji katikati akionesha Bahasha za waombaji wa Zabuni ya Uingizaji mafuta  Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na Disemba,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
DSC_1013
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)Mwalim Ali Mwalim akimtangaza mshindi wa Zabuni ya Uletaji Mafuta katika Visiwa vya Zanzibarwa miezi miwili Novemba na Disemba, baada ya kufanyika kwa mchakato wa kumtafuta mshindi,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
DSC_1019
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)Mwalim Ali Mwalim akimtangaza mshindi wa Zabuni ya Uletaji Mafuta katika Visiwa vya Zanzibarwa miezi miwili Novemba na Disemba, baada ya kufanyika kwa mchakato wa kumtafuta mshindi,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
DSC_1029
Muakilishi wa Kapuni ya Augusta Energy sa yenye makazi yake Geneva Switzerland Orlando D’costa akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kutangazwa kua mshindi wa Zabuni ya Uingizaji mafuta  Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na Disemba,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

Waagwa kwenda Dafurl Sudan kwa Ulinzi wa Amani


_DCM9039
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Andrew Sattaa akiwakabidhi bendera ya Taifa kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi hilo (IGP) Simon Sirro, askari wa Jeshi hilo wanaokwenda Darful, nchini Sudani kushiriki shughuli za Ulinzi wa amani ambapo amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na kwa kufuata taratibu kwa kipindi chote watakachokuwemo nchini  humo. Picha na Jeshi la Polisi
_MG_1599
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Adrew Satta, akimuwakilisha Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiwaaga askari wanaokwenda kushiriki shughuli za Ulinzi wa Amani Darful Nchini Sudan, ambapo amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na kwa kufuata taratibu kwa kipindi chote watakachokuwemo nchini  humo. Picha na Jeshi la Polisi.

TSN,TBC ZA TWAA TUZO ZA DSE 2017 PIA ZIPO NMB, TBL NA STANDARD CHARTERED BANK


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,  Dorothy  Mwanyika akimkabidhi Tuzo  ya Chombo bora cha habari mwaka 2017
(Magazeti), Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jim Yonazi (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake.
Katikati ni
Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa. (Picha:Mroki Mroki/TSN Digital).
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,  Dorothy  Mwanyika akimkabidhi Tuzo  ya Chombo bora cha habari mwaka 2017
(Digital), Kaimu Mkurugenzi wa habari na Matukio wa TBC, Prudence Costantine (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu  zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake.
Katikati ni
Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,  Dorothy  Mwanyika akimkabidhi Tuzo  kwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani (kulia) baada ya Benki hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,  Dorothy  Mwanyika akimkabidhi Tuzo  Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania,(TBL), Bruno Zambrano (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu
zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake. Katikati ni
OfisanMtendaji Mkuu wa DSE,mMoremi Marwa.
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,  Dorothy  Mwanyika akimkabidhi Tuzo  kwa Meneja Mwandamizi wa Benki ya NMB anaeshughulika na Mikakati na mahusiano ya wawekezaji, Anna Mwasha (kulia) baada ya Benki hiyo kuibuka mshindi wa pili katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake. Katikati ni Ofisa
Mtendaji Mkuu wa DSE
, Moremi Marwa.BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.
 Wafanyakazi wa Benki ya Standard Chartered wakiwa katika picha
 wafanyakazi wa TBL nao wakifurahia tuzo yao.
 Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jim Yonazi akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa habari na Matukio wa TBC, Prudence Costantine (kulia) baada ya Vyombo hivyo vya habari vya serikali kushinda tuzo za DSE 2017. 
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wakifurahia tuzo yao.
 Picha ya pamoja kati ya wafanyakazi wa TSN na majaji katika tuzo za DSE.
 Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jim Yonazi akiwa na
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani (kulia. 
 Picha ya pamoja ya washindi na watumishi katika taasisi zao.
Wageni mbalimbali waliohudhuiria hafla hiyo wakiwa ukumbini wakati wa utoaji tuzo.

KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKINGA AFUNGUA KONGAMANO LA WAZEE MJINI DODOMA



Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinisa, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na wazee kwenye Ukumbi wa Shule ya  Sekondari Dodoma wakati akifungua Kongamano la Wazee kuelekea Kilele cha Siku ya Wazee Duniani Oktoba Mosi 2017.


Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akifafanua jambo kwa wazee walioshiriki Kongamano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Shule ya  Sekondari Dodoma. 


Mwenyekiti wa Mtandao wa Wazee Tanzania Mzee Sebastian Bulegi akitoa salamu za wazee kwa Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Maendeleo ya Jamii, Jinisa, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga (hayupo Pichani) wakati wa uzinduzi wa Kongamano la Wazee kuelekea  Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani lililofanyika Ukumbi wa Shule ya  Sekondari Dodoma .


Mtaalamu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Huduma za Jamii Dkt. Daudi Kaale akijibu hoja mbalimbali za wazee kwenye Kongamano la Wazee kuelekea  Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani lililofanyika Ukumbi wa Shule ya  Sekondari Dodoma.


 Baadhi ya Wazee kutoka mikoa ya Tanzania Bara wakifuatilia mada mbalimbali katika Kongamano la Wazee kuelekea  Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani liliofanyika Ukumbi wa Shule ya  Sekondari Dodoma.




TAMASHA LA TIGO FIESTA LAFANA MKOANI TABORA


Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza kuhusu usalama wa watu na mali zao ulivyoimalishwa  kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana.
Benpol akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Tabora katika Tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora
Msanii wa bongo fleva Mr Blue akitumbuiza kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana.
Chege akitumbuiza kaaika jukwaa la Tigo Fiesta
Darasa akitumbuiza kaaika jukwad la Tigo fiesta mapema usiku wa kuamkia leo mkoani  Tabora.
Omy Dimpoz akiburudisha wakaz wa Tabora waliojitokeza kwa wingi katika viwanja via 
Jux akitummbuiza wakazi wa Tabora.
Jux katika jukwaa la Tigo Fiesta  katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora 

Maua Sama akiimba kwa hisia 
 
 
 
Maelfu ya wakazi wa Tabora wakiwa katika Tamasha la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia jana.