|
Mkuu
wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza kuhusu usalama wa watu na
mali zao ulivyoimalishwa kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini
Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana. |
|
Benpol akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Tabora katika Tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora |
|
Msanii
wa bongo fleva Mr Blue akitumbuiza kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana. |
|
Chege akitumbuiza kaaika jukwaa la Tigo Fiesta |
|
Darasa akitumbuiza kaaika jukwad la Tigo fiesta mapema usiku wa kuamkia leo mkoani Tabora. |
|
Omy Dimpoz akiburudisha wakaz wa Tabora waliojitokeza kwa wingi katika viwanja via |
|
Jux akitummbuiza wakazi wa Tabora. |
|
Jux katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora |
Maua Sama akiimba kwa hisia
|
Maelfu ya wakazi wa Tabora wakiwa katika Tamasha la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia jana. |
No comments:
Post a Comment