Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)
Andrew Sattaa akiwakabidhi bendera ya Taifa kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi
hilo (IGP) Simon Sirro, askari wa Jeshi hilo wanaokwenda Darful, nchini
Sudani kushiriki shughuli za Ulinzi wa amani ambapo amewataka askari hao
kufanya kazi kwa weledi na kwa kufuata taratibu kwa kipindi chote
watakachokuwemo nchini humo. Picha na Jeshi la Polisi
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)
Adrew Satta, akimuwakilisha Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro,
akiwaaga askari wanaokwenda kushiriki shughuli za Ulinzi wa Amani Darful
Nchini Sudan, ambapo amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na
kwa kufuata taratibu kwa kipindi chote watakachokuwemo nchini humo.
Picha na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment