Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Haji Kali Haji akitoa hotuba ya
Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Zanzibarkwa
miezi miwili Novemba na Disemba, hafla iliofanyika katika Hoteli ya
Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Baadhi ya Wawakilishi wa
Makampuni yalioomba zabuni ya Uingizaji Mafuta wakijitambulisha katika
Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Zanzibar kwa
miezi miwili Novemba na Disemba, hafla iliofanyika katika Hoteli ya
Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Haji Kali Haji katikati akionesha
Bahasha za waombaji wa Zabuni ya Uingizaji mafuta Zanzibar kwa miezi
miwili Novemba na Disemba,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar
Ocean View kilimani mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)Mwalim Ali Mwalim
akimtangaza mshindi wa Zabuni ya Uletaji Mafuta katika Visiwa vya
Zanzibarwa miezi miwili Novemba na Disemba, baada ya kufanyika kwa
mchakato wa kumtafuta mshindi,hafla iliofanyika katika Hoteli ya
Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)Mwalim Ali Mwalim
akimtangaza mshindi wa Zabuni ya Uletaji Mafuta katika Visiwa vya
Zanzibarwa miezi miwili Novemba na Disemba, baada ya kufanyika kwa
mchakato wa kumtafuta mshindi,hafla iliofanyika katika Hoteli ya
Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Muakilishi wa Kapuni ya Augusta
Energy sa yenye makazi yake Geneva Switzerland Orlando D’costa
akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kutangazwa kua mshindi
wa Zabuni ya Uingizaji mafuta Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na
Disemba,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani
mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment