Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed
Shein, akizungumza katika Baraza la Eid, lililofanyika Bumbwini,
Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Dkt. Shein ametumia sherehe hizo kuaga rasmi wananchi wa Zanzibar. Picha zote kwa hisani ya Mwinyi2020.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed
Shein, ametumia Baraza la Eid, lililofanyika Bumbwini, Kaskazini B, Mkoa
wa Kaskazini Unguja kuaga rasmi wananchi wa Zanzibar. Katika
sherehe hizo zilizohudhuriwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na
Mgombea Urais Mteule wa CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, na viongozi
wengine wa vyama vya siasa na serikali. Sherehe hizo zilitanguliwa na
Swala ya Eid iliyoswaliwa katika viwanja vya Misuka, Mahonda.
|
No comments:
Post a Comment