Pages

Friday, July 31, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MWANZA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali alipowasili kwenye Uwanja wa ndege Jijini Mwanza leo Julai 31,2020 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Sikukuuu ya Wakulima nanenane inayotarajiwa kuzinduliwa kesho Agosti 01, 2020 Kitaifa Mkoani  Simiyu.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment