Pages

Wednesday, March 2, 2022

TANZANIA YANGURUMA KATIKA BARAZA LA HAKI ZA BINADAMU GENEVA.

Waziri wa Katiba na Sheria Mh. George Simbachawene aiwakilisha Tanzania. Kwenye picha ni Balozi na Mwakilishi wa Kudumu Geneva Maimuna Tarishi na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Hoyce Temu wakifuatilia mkutano huo.

No comments:

Post a Comment