KAMPUNI ya vinywaji ya TBL inayomilikiwa na kampuni ya AB Inbev imeendelea na jitihada za kutafuta suluhu za changamoto mbalimbali za
Pages
Thursday, March 31, 2022
TBL Yaalika Kampuni Chipukizi Za Kivumbuzi Kutatua Changamoto Za Maendeleo Na Kushinda USD 100,000
OPERESHENI ANWANI ZA MAKAZI SASA NI ASILIMIA 67
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati wa mkutano na Wakuu wa Mikoa uliofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza wakati wa mkutano na Wakuu wa Mikoa uliofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe akizungumza na Wakuu wa Mikoa na viongozi mbalimbali katika mkutano wa Wakuu wa Mikoa kwa lengo la kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi jijini Dodoma.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa baada ya mkutano wa wakati Wizara hizo na Wakuu wa Mikoa wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi uliofanyika jijini Dodoma.
************************
Operesheni ya uwekaji wa Anwani za Makazi nchini iliyotangazwa tarehe 8 Februari mwaka huu wa 2022 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan sasa utekelezaji wake umefikia asilimia 67 kulingana na takwimu za
OFISI YA MAKAMU WA RAIS YASAINI MKATABA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Dezo Construction Co. Ltd Bw. Premji Pindoria wakionesha nyaraka za mkataba za ujenzi na ukarabati wa kingo za fukwe katika maeneo ya mwambao wa Mikindani (Mtwara) hafla iliyofanyika leo Machi 31, 2022 jijini Dodoma Dustan Shimbo na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na wataalamu kutoka Kampuni ya Dezo Construction Co. Ltd Bw. Premji Pindoria mara baada ya kutiliana saini kwa mkataba wa ujenzi na ukarabati wa kingo za fukwe katika maeneo ya mwambao wa Mikindani (Mtwara) hafla iliyofanyika leo Machi 31, 2022 jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
…………………………………………………..
Ofisi ya Makamu wa Rais na Kampuni ya Ujenzi ya DEZO Civil Contractors Co. Ltd. zimesaini mkataba wa ujenzi na ukarabati wa kingo za fukwe katika maeneo ya
Kampuni Ya Howden Puri Yazindua Bima Maalum Kwa Machinga
Mkuu wa wilaya ya Ilala Ng’wilaburu Ludigija (kushoto) akizungumza katika uzinduzi wa bima ya Hifadhi Biashara iliyoanzishwa na kampuni ya Howden Puri. Bima hiyo maalum kwa wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga.
Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima Nchini (TIRA) Dkt. Baghayo Abdallah Saqware akizungumza katika uzinduzi wa bima ya Hifadhi Biashara iliyoanzishwa na kampuni ya Howden Puri. Bima hiyo maalum kwa wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bima a Howden Puri Sinda Sinda akizungumza katika uzinduzi wa bima ya Hifadhi Biashara iliyoanzishwa na kampuni ya Howden Puri. Bima hiyo maalum kwa wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga.
Mwenyekiti wa Chama Cha wafanyabiashara wadogo wadogo (Machinga) mkoa wa Dar es Salaam, Yusuph Namoto kizungumza katika uzinduzi wa bima ya Hifadhi Biashara iliyoanzishwa na kampuni ya Howden Puri. Bima hiyo maalum kwa wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga
Mratibu wa bidhaa wa kampuni ya Selcom, Gallus Runyeta akizungumza wakati wa uzinduzi wa bima ya Hifadhi Biashara iliyoanzishwa na kampuni ya Howden Puri. Bima hiyo maalum kwa wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga.
Mkuu wa Kitengo cha Tigo Pesa Mshamma Mshamma akizungumza katika uzinduzi wa bima ya Hifadhi Biashara iliyoanzishwa na kampuni ya Howden Puri. Bima hiyo maalum kwa wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga.
Wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kwa jina la Wamachinga wakifuatilia uzinduzi wa bima ya Hifadhi Biashara iliyoanzishwa na kampuni ya Howden Puri.
Washirika wakuu wa Bima ya Hifadhi Biashara iliyozinduliwa na kampuni ya Howden Puri wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wialaya ya Ilala Ng’wilaburu Ludigija
Mkuu wa Wilaya akiwa na Washirika wa Bima ya Hifadhi BiasharaViongozi mbalimbali wa Hifadhi biashara
Kampuni ya Howden Puri imezindua bima maalum kwa wajasiriamali ijulikanayo kwa jina la Hifadhi Biashara, ambayo lengo kubwa ni
KQ’s see-sawing strategies keep investors waiting for turnaround
Finding a cure for the ailing Kenya Airways has proven to be a big problem for the government, with the airline gobbling up billions in bailouts without much sign of a recovery.
Insurers invest Sh66bn more in bonds, T-bills
Insurance companies increased their investment in government bonds and T-bills by Sh66.2 billion or 15 percent in the quarter ended December, seeking to lock in double-digit returns offered by the securities.
How Absa is coping with loss of mobile transfer fees
For three years now, banks have not made money on transfers between accounts and mobile wallets.
In an interview with the Business Daily, Absa Bank Kenya chief executive Jeremy Awori discussed the risks associated with the Central Bank of Kenya (CBK) waiver and why the banks would even be willing to cut the fees as a tradeoff to have the charges reinstated.
Love still drives my business
Kayamba afrika director Juma Odemba. FILE PHOTO | NMG
Microphone in hand, Juma Odemba, is the uber master of ceremonies. He is funny and irreverent, surprising and provocative. At wedding receptions—champagne in hand — he dances, jokes and swaggers around, wielding his charm and chutzpah.
Safaricom dividend pay pulls NSE to one-year low
Securities trader Mbuthia Irungu at Nairobi Securities Exchange (NSE) trading floor at the Exchange building in Nairobi on August 26, 2020. PHOTO | SALATON NJAU | NMG
Investors at the Nairobi Securities Exchange (NSE) lost Sh73.2 billion in
War in Ukraine: Latest developments
Here are the latest developments in the war in Ukraine:
- Buses sent to Mariupol -
Ukraine's government says it is sending 45 buses to evacuate civilians from the
Tanzania’s national debt reaches Sh64.5 trillion
Dar es Salaam. Tanzania’s national debt has increased Sh7.76 trillion from
Dr Mpango on Tanzania’s position in the Russia-Ukraine conflict
Many African countries including Tanzania have chosen to remain neutral in the
EAC now one of Africa's largest trading areas
Arusha. The East African Community (EAC) is now one of the leading trading blocs in Africa, thanks to the entry of DR Congo yesterday.
How payment delays cost Tanzania billions annually
Dar es Salaam. Tanzania is losing billions of shillings each year due to delays in
Bernard Membe returns to CCM fold after four years
Dodoma. Former Foreign Affairs minister Bernard Membe has returned to ruling party Chama cha Mapinduzi (CCM) in announcement that was made by the party’s