Taasisi
ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwafikisha mahakamani watu
watano wakiwemo wanne watumishi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)
kwa makosa ya rushwa, uhujumu uchumi na ukwepaji kodi wa Sh.153.5
milioni.
Taarifa
iliyotolewa leo Jumatatu tarehe 31 Agosti 2020 na Doreen Kapwani, Afisa
Uhusiano wa Takukuru kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo
imesema, watumishi hao walikwisha fukuzwa kazi watafikishwa mahakamni
leo.
Doreen
imetangaza kutafutwa kwa Madaraka Robert Madaraka, aliyekuwa mhasibu wa
Bandari ya Kigoma anayetuhumiwa kuhusika katika tuhuma hizo ili aweze
kuunganishwa na wenzake.
No comments:
Post a Comment