Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki akizungumza na
Waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Kikao cha kujadili Hali ya
Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa
Taasisi za Wizara kilichofanyika jana katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma
za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt Aloyce. K. Nzuki akifafanua
jambo wakati wa Kikao cha Kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa
Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika
katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha
Mbegu za Miti Morogoro. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Malikale
Dkt. Fabian Kigadye.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki akifurahia
jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt. Noel Lwoga
(katikati) pamoja na Mtaalam wa Malikale Prof. Audax Mabula mara baada
ya ufunguzi wa Kikao cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa
Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika
katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha
Mbegu za Miti Morogoro.
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Malikale, Dkt. Fabian Kigadye akizungumza katika
Kikao cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya
Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika katika
Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za
Miti Morogoro.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki akitoa Hotuba
ya Ufunguzi katika Kikao cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa
Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara
kilichofanyika jana katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu
Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. Aliyekaa Kushoto kwa
Katibu Mkuu, ni Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Kale, Dkt. Fabian
Kigadye na (kulia) ni Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi na teknolojia – Idara
ya Mambo ya Kale, Dr. Bwasiri Emmanuel.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii
Dkt. Aloyce K. Nzuki akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kikao
cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale
yaliyokasimishwa kwa Taasisi za wizara kilichofanyika jana mjini
Morogoro.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada zilizokuwa
zikitolewa wakati wa kikao cha kujadili Uendelezaji wa Maeneo ya
Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika katika
Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za
Miti Morogoro.
Washiriki wa Kikao cha Kujadili Hali ya Uhifadhi
na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za
Wizara, wakifuatilia kwa makini Hotuba ya Ufunguzi ya Katibu Mkuu wa
Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki (Hayumo pichani)
kwenye ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS) Kituo cha
Mbegu Morogoro.
No comments:
Post a Comment