Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi, Sudi Mwakibasi, akizungumza na Wakimbizi wa Burundi wanaoishi
katika Kambi ya wakimbizi ya Mtendeli Mkoani Kigoma wakati wa zoezi la
Kampeni ya kuhamasisha Wakimbizi kurejea kwenye Nchi zao za Asili baada
ya Amani na Usalama kurejea katika Nchi yao. Zoezi hilo limefanyika Jana
Mkoani Kigoma.
Kamishna wa Polisi, Nsato
Marijani, ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Usimamizi wa Makambi
na Makazi, Idara ya Huduma kwa Wakimbizi akiwahamasisha Wakimbizi wa
Burundi wanaoishi Kambi ya Mtendeli kurejea Nchini kwao kwa hiari baada
ya Amani na Usalama kurejea katika Nchi yao. Zoezi hilo limefanyika jana
Mkoani Kigoma.
Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha
Sheria na Hifadhi, Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Numbilya Mpolo,
akiwahamasisha Wakimbizi wa Burundi wanaoishi Kambi ya Mtendeli kurejea
Nchini kwao kwa hiari baada ya Amani na Usalama kurejea katika Nchi yao.
Zoezi hilo limefanyika jana mkoani Kigoma.
Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha
Usalama na Oparesheni Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Kanali Maisha
Rajabu, akiwahamasisha Wakimbizi wa Burundi wanaoishi Kambi ya Mtendeli
kurejea Nchini kwao kwa hiari baada ya Amani na Usalama kurejea katika
Nchi yao. Zoezi hilo limefanyika jana mkoani Kigoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi, Sudi Mwaklibasi, Wasaidizi wake, Wakimbizi na Mashirika ya
Kuhudumia Wakimbizi wakijumuika kusherekea mwitikio mkubwa wa Wakimbizi
kukubali kurejea kwao Burundi wakati wa uhamasishaji urejeaji kwa hiari.
Karibu Wakimbizi wote katika Kambi ya Mtendeli wameonesha utayari Mkurugenzi
wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwaklibasi, Wasaidizi wake,
Wakimbizi na Mashirika ya Kuhudumia Wakimbizi wakijumuika kusherekea
mwitikio mkubwa wa Wakimbizi kukubali kurejea kwao Burundi wakati wa
uhamasishaji urejeaji kwa hiari. Karibu Wakimbizi wote katika Kambi ya
Mtendeli wameonesha utayari
No comments:
Post a Comment