RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA SWALA YA EID EL-ADHA KIMKOA LINDI
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya
Kikwete ameongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya
Eid Al-Adha Kimkoa iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Ilulu Lindi mjini.
Dkt Kikwete ameongozana na mke wake Mama Salma Kikwete.
No comments:
Post a Comment