Makamu wa Rais wa Samia Suluhu Hassan, akisalimaina na Waziri wa Ulinzi
na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ambaye pia ni mgombea urais wa Zanzibar
kupitia CCM, Dk. Hussein Mwinyi, baada ya Baraza la Eid El Hajj
Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Unguja jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimaina na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
ambaye pia ni mgombea urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dk. Hussein Mwinyi,
baada ya Baraza la Eid El Hajj Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Unguja
jana.
MSAFARA Maalum wa Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein,
ukiwasili katika viwanja vya ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Bumbwini
Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja kuhudhuria hafla ya Baraza la Eid Alhajj
lililofanyika Kitaifa katika Wilaya hiyo.(Picha na Ikulu)
WAZIRI
wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim akizungumza kabla
ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, kulihutubia Baraza la Eid
Alhajj lililofanyika katika ukumbi wa Mitihani Skuli ya Bumbwini Wilaya
ya Kaskazini “B” Unguja.(Picha na Ikulu)RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk.Ali
Mohamed Shein akielekea katika eneo maalum lililoandaliwa Gwaride maalum
la FFU kwa ajili ya kupokea Salamu ya heshima baada ya kuwasili katika
viwanja vya Ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini
“B” Unguja kuhudhuria Baraza la Eid Alhhaj.(Picha na Ikulu) RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali
Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Zanzibar katika Baraza la Eid
Alhajj lililofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika
ukumbi wa Mitihani Skuli ya Bumbwini.(Picha na Ikulu) VIONGOZI
wa Serikali na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Alhajj
wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj
Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akilihutubia katika ukumbi wa
mitiha wa Skuli ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja lililofanyika
Kitaifa mwaka huu.(Picha na Ikulu)RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali
Mohamed Shein akipokea Salamu ya heshima kutoka katika Gwaride Maalum la
Kikosi cha FFU, iliofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Mitihani wa
Skuli ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment