Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP),
Juma Bwire (kulia) akipokea vifaa vya kujikinga dhidi ya Virusi ya Covid
19 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Agora Wood Product,
Elisha Edson, vyenye thamani Tsh Milioni 6. 5 kuwasaidia askari Polisi
kujilinda afya zao. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment